lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu uncojingjong - fala mang’aa

Loading...

[producer tag]
(batoz music)
big up big up
batoz music
[intro]
ah hah!
yoyo
yo yo
uncojingjong~jingjong~jingjong~jing
uncojingjong~jingjong~jingjong~jing
uncojingjong~jingjong~jingjong~jing
un~co~jingjong~jing
[verse 1]
nikataja gushodo nikapanue kichobo
nikasuke kidogo nikathigithe kiboko
na kadung’aga dung’aga kanatingika kisogo
bongo ni dogo na imejaa bojongo
[bridge]
kwani mnacheza brikicho (cho)
cho (cho), cho (cho), cho (cho), cho (cho), cho (cho)
mnajificha mnakulana choo (choo)
choo (choo), choo (choo), choo (choo), choo (choo), choo (choo)
[refrain]
fala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang’aa
atashika rada akijua shada
mafala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang’aa
atashika rada akijua shada
[verse 2]
mi hunyanya kibanda ya nyanya
sipendagi upuzi enzi za washenzi
kuchizi na mapenzi
kukaliwa kitapo juu ya pongi za maenzi
tukague vitenge ndo tushoneshe ndege tuchanganye majenge na madenge za vitenge
tuko lembe na maembe naua ndege na jembe
nimekuja kuchinja na kelele piga binja
nachinja chinja chinja, nikeep figure mimba
[bridge]
kwani mnacheza brikicho (cho)
cho (cho), cho (cho), cho (cho), cho (cho), cho (cho)
mnajificha mnakulana choo (choo)
choo (choo), choo (choo), choo (choo), choo (choo), choo (choo)
[refrain]
fala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang’aa
atashika rada akijua shada
mafala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang’aa
atashika rada akijua shada
[verse 3]
iza kidole cha kati ka hauna dem kula ngwati
sinaga form za wanati za kulana kwa mabati
na ka ni zogo ni sharti nikae rada sitaki kula kidevu nibaki, sura haina haki
[bridge]
kula kiding ubadilike uache usoro
uwache umama ama utakatwa mboro
ukikosa kazi enda ukaze nyororo
[hook]
uache kash~sh~ pang’ang’a hauna nyonyo~nyonyo~nyonyo~nyonyo
[verse 5]
hii ni maneno iko kwa moyo moyo
ni ya kazi gani bila lolo lolo
ziba ka hautaacha uchoyo choyo
ama unaficha kisonono nono
nunu inanuka konokono kono
hata ukatengeneza p~rno p~rno
utaiangalia solo solo
jing! kutoka umo umo umo umo
[refrain]
fala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang aa
atashika rada akijua shada
mafala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang’aa mafala mang’aa, fala fala mang’aa
atashika rada akijua shada

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...