lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu unanichukia - yammi

Loading...

[verse 1]
mhh upepo uvumao mashariki
unipepee kwa magharibi
na roho iponee
labda ungesema kwa lipi ambalo sikufai
na ukipata muda uje unione

[pre chorus]
nimezana meli feli, shilingi inaelea aah
au ule ujazo wa bahari umeshapungua
kule kunipumba pamba kwa zawadi
kujitumisha vimeseji, ahh mapenzi mabaya
panapo majaliwa
siku tukija tena kuonana
usisite kunisalimia
so kimya kimya kama mabubu ah tunapishana

[chorus]
najua unanichukia
ahh unanichukia ooooh
najua unanichukia
ahh unanichukia, unanichukia ooooh

[verse 2]
macho yatazama mbali
ila mi sioni mbele ukungu
katu wa moja habebagi mbili
hua nachekaga usoni, ya moyoni anajua mungu
[pre chorus]
nimezana meli feli, shilingi inaelea aah
au ule ujazo wa bahari umeshapungua
kule kunipumba pamba kwa zawadi
kujitumisha vimeseji, ahh mapenzi mabaya
panapo majaliwa
siku tukija tena kuonana
usisite kunisalimia
so kimya kimya kama mabubu ah tunapishana

[chorus]
najua unanichukia
ahh unanichukia ooooh
najua unanichukia
ahh unanichukia, unanichukia ooooh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...