lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu tumaini mpya choir - neno la bwana

Loading...

wandugu tu mtumaini bwana
yeye ni msaada wetu
na ngao letu

bwana akiwa upande wetu
hakuna alie juu yetu
sisi tunao mcha tunao mwamini
aleta jua kwa watu wote
aleta mvua kwa watu wote
mbingu na nchi ni kazi ya mikono yake
awapigania wamchao
katika shida yeye ni pamoja na si
bwana akiwa upande wetu mwanadamu
hawezi kuwa juu yetu


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...