lirik lagu trio mio - cheza kama wewe
[verse 1]
buda form !!!
manze si utuitie sherehe
leo tupige kelele
raha unajipa mwenyewe
[pre~chorus]
si unichome uko na ndom
tukiwashe tupepeee
tukate maji leo tulewe
we bazu cheza kama wewe
[chorus]
trio cheza kama wewe
cheza kama wewe
cheza kama wewe
we bazu cheza kama wewe
trio cheza kama wewe
cheza kama wewе
cheza kama wewe
wе bazu cheza kama wewe
[verse 2]
trio nacheza kimimi mdhamini sipini
na ka unadai moshi utazivuta kote chimney
limit ya fuliza imeongezeka niko machingli
naeza shika jug na kanuthu niskie tifi
nacheza kiroro, nacheza ki~wingman
naeza fika soko nishike ki g bag
turirime mragi meditation na ki fifa
shukisha kibandaskii chapo ndondo inaeza jipa
rada na madenge, vuta hizo matenje
usichomange kamenje, huskii niko mawenge
unaeza nyonga sana, mkono ianze k~mea skwembe
manze kakiivana si napigana tu vijembe
[bridge]
peleka na mtrrrr
peleka na mtaratara
usilete hapa machrrr
manguna vitu chwara chwara
mi huteka ma prrrr
mamtoko huw~nga maprincess
magyala ni wapeng
wafaa kupostiwa kwa pinterest
form !!!
manze si utuitie sherehe
(utuite sherehe)
leo tupige kelele
raha unajipa mwenyewe
[pre~chorus]
si unichome uko na ndom
tukiwashe tupepeee
tupepee
tukate maji leo tulewe
we bazu cheza kama wewe
[chorus]
trio cheza kama wewe#
cheza kama wewe
cheza kama wewe
cheza kama wewe
cheza kama wewe
we bazu cheza kama wewe
ah bazu cheza kama wewe
trio cheza kama wewe
cheza kama wewe
cheza kama wewe
cheza kama wewe
cheza kama wewe
we bazu cheza kama wewe
ah bazu cheza kama wewe
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu medvin - yeniler
- lirik lagu jeremy - sdt#2
- lirik lagu bixby - the grass is always greener on the other side
- lirik lagu lilnzo - life in dior
- lirik lagu carlos vives - tres perlas
- lirik lagu lil bloodsacrifice - nintendo
- lirik lagu aya nakamura - sentiments grandissants
- lirik lagu kural - salın beni
- lirik lagu junoflo - come up (ft. ted park & parlay pass)
- lirik lagu justin starling - dangerous