lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu trio mio - achia

Loading...

achia hii kabla ngoma niliwachia
na kama inawauma hauskii kaluma inaweza saidia
we ndo wa kutuma ka haujachangia
siku hizi ni machupa mavikombe niliwaachia

achia, achia ah ah
achia, achia ah ah
achia, achia ah ah
achia, achia ah ah

achia, achia mabiggie
mechi imekushinda buda wachia magwiji
huku ni foreign koro naachia nachizi
tuna kula nyama mfupa naachia mafisi

achia, achia mabiggie
mechi imekushinda buda wachia magwiji
huku ni foreign koro naachia nachizi
tuna kula nyama mfupa naachia mafisi

bizna ni ya kizazi, monkey achia watoto
mali ni ya mainatenance achia masonko
cheza size ya kwako we enda ukatiwe na bosco
hapa unatoboka mf~ko ubakie na ngovo

ambia hao mabombo kambi ya wanoko
yule anajifanya hajui nimeingia na mwongo
mziki bila kiki drama naachia madogo
nadeliver moto kama bhajia za glovo
achia, achia ah ah
achia, achia ah ah
achia, achia ah ah
achia, achia ah ah

achia, achia mabiggie
mechi imekushinda buda wachia magwiji
huku ni foreign koro naachia nachizi
tuna kula nyama mfupa naachia mafisi

achia, achia mabiggie
mechi imekushinda buda wachia magwiji
huku ni foreign koro naachia nachizi
tuna kula nyama mfupa naachia mafisi

kabla stage ipandwe lazma mniachie za macho
kazi ya kukulea tumeachia mamako
unataka kuomoka na umekalia matako
unataka k~monchoka na umekwamia mlango

dandiwa kwa junction, mangiwa kwa mansion
jiji ina wadaku weka pazia kwa balcon
gwanda ni oriji ama bandia za dando
hakuna msee anajua ju zinavaliwa na mpango

achia, achia ah ah
achia, achia ah ah
achia, achia ah ah
achia, achia ah ah
achia, achia mabiggie
mechi imekushinda buda wachia magwiji
huku ni foreign koro naachia nachizi
tuna kula nyama mfupa naachia mafisi

achia, achia mabiggie
mechi imekushinda buda wachia magwiji
huku ni foreign koro naachia nachizi
tuna kula nyama mfupa naachia mafisi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...