lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu trillion thamani - found yah

Loading...

#intro
magic lizer
aiyeee aahh olololoo

#verse
ni kazi kubwa sana k~mpata anayekupenda kweli
anayeyajua maisha is black and white (shida na raha)
na tena asiwe pang’ang’ah mwenye ya baba sura ni mtoto mzuri
alivyokatikakati akikatisha huaga balaa

#pre~chorus
nishahangaika k~mtafuta mwenza
wakuja kuijenga family nikamkosa
kisha nikawaza labda huenda
nilowapenda walilipiza walivyoumizwa

#chorus
gal i found yah
i found yah
finally, i got you
me and you is colabo!

i found yah
gal i found yah
i found yah
mi na we gal
ni jamuhuri ya muungano wa mapenzi
(sing along,mh!)
#instrumental
#verse
nyoyo zetu zinacheza pamoja
zimeridhia kupendana
akili fyatu ndo sina hata moja kuwaza kuja kuachana
kwenye pachupachu hanipi kadhia so mpaka mimi k~muomba
ajabu chatu ndo namshuhudia hamezi ye ndo anaemezwa
kugandana na wana kutwa kijiweni daily nashinda nyumbani
ananikandakanda bebi mwilini
akitaka nyanya naenda mi gengeni,wasema nisharogwa sijali
ruksa waniite kijakazi wa ndani

nishahangaika k~mtafuta mwenza
wakuja kuijenga family nikamkosa
kisha nikawaza labda huenda
nilowapenda walilipiza walivyoumizwa

gal i found yah
i found yah
finally, i got you
me and you is colabo!

i found yah
gal i found yah
i found yah
mi na we gal
ni jamuhuri ya muungano wa mapenzi


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...