lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu trevy mcmuller, likes richardz - mrembo - likes x trevy

Loading...

mrembo -_likes x trevy

rico_drop that_beat

verse 1: likes

ulaya? australia? asia bara?
umetokea wapi mrembo weee? (mrembo weeh)
mwingi wa sala,ng’ara, balaa
,ulimpa nini mungu akupendelee ( akupendelee)
nisije tembelea magongo (magongogongo)
wajua mapenzi ya kibongo (kibongobongo) ilaa usiniache mrembo wewe
acha wanaosema uwongo (uwongo uwongo)
ati nakupakiaga mkongo (mkongo mkongo) ilii usiniache mrembo wewe
when i see yo face (when i see yo face)
mtoto nicki minaji anaconda
kitandanii mwepesiii (kitandanii mwepesiii)
anainyonga mpka nafika kitonga (nafika kitonga)

pre-chorus: trevy

amebarikiwa, mwili wake umezawadiwa, mashaallah
(she’s so beautiful)
ajishebedua, ye mwenyewe anajijua, asalalleh

chorus: trevy

she’s so beautiful beautiful ( beautiful )
i swear she’s so beautiful beautiful ( beautiful)
wanamuita mrembo ( wanamuita mrembo)
, mrembo mrembo (mrembo mrembo)
she’s so beautiful beautiful ( she’s so beautiful )
i swear she’s so beautiful beautiful ( beautiful)
wanamuita mrembo ( wanamuita mrembo)
, mrembo mrembo (mrembo mrembo)

verse 2: trevy

kushoto kulia mbele na nyuma
sioni mwingine nakuona weeh (nakuona weh)
wewe tu!
kwa ulivotulia walai unavutia
ntalia ukiniacha-niacha weeh (ukiniacha weh)
wewe tu!
when i see your face (when i see your face)
my heart dey race ( my heart dey race)
and every place you wanna be, i’ll be with you
i no go lie (i no go lie)
i can’t deny (i can’t deny)
you de blow my mind ( you de blow my mind)
you de blow my mind

pre-chorus: trevy

amebarikiwa, mwili wake umezawadiwa, mashaallah
(mashaallahhhh)
ajishebedua, ye mwenyewe anajijua, asalalleh
(asalalleeehhhh)

chorus: trevy

she’s so beautiful beautiful ( beautiful )
i swear she’s so beautiful beautiful ( beautiful)
wanamuita mrembo ( wanamuita mrembo)
, mrembo mrembo (mrembo mrembo)
she’s so beautiful beautiful ( she’s so beautiful )
i swear she’s so beautiful beautiful ( beautiful)
wanamuita mrembo ( wanamuita mrembo)
, mrembo mrembo (mrembo mrembo)

instrumental break:

gopa___beatz

outro: trevy

she’s so beautiful beautiful ( beautiful )
i swear she’s so beautiful beautiful ( beautiful)
wanamuita mrembo ( wanamuita mrembo)
, mrembo mrembo (mrembo mrembo)

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...