lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu trabolee - rawtrabo reprise

Loading...

[intro]
i’m fela kuti with the saxophone
i bring it back to base, back to home
i’m fela kuti with the saxophone
i bring it back to base, back to home

[verse 1: trabolee]
nazunguka circle of life mic ikiwa kwa angle ya theta
sacred geometry ina-sound bhagavad gita
rawtrabo, we thieves in the night
lost in kush and corinthians
wali-try kutu-strangle tukakata puppet strings, buff akaunda hii sample ya guitar
hii ni ya wale hawajakula ugali leo
ulimi kwa gullet in, rap galileo, niko tayari kuhamasisha hadhira
karatasi ni desiderata
ati kila line ni apocrypha, mkanyang’anywa isis na cleopatra
mkadanganywa na jezebel, delilah na wife wa potiphar
ha! mnanipata?
ki-indiana jones n-z-ndua yaliyofichwa
if you know what’s going on, it’s nefelibata, kila mtu nipe mavichwa

[hook]
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance

[verse 2: trabolee]
waliniambia rap ni ka dunia
ku-go round the sun in less than one year haiezi hack
sahii nawatingisha na poetry hata william akiniskia ana-get shakes pia
and i’m just a mixture
ka ku-blend van dame na van gogh ju mi hutumia kicks ku-paint hizi pictures
walking through the valley of the shadow of death ndio ni-escape kivuli ya grim reaper
life hutumia hands of time kuku-molest na wenye hawajui washajipa
so i put my heart in this bars, ni ka cardiac arrest ju game imenishika
waliniambia life ndio instrumental but i’ll rap to death hata beat ikiisha
ili-go from fun to fundamental, so niko wide awake nakesha na ma-ke$ha

(hook)
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance

[verse 3: romi swahili]
blessed na niceness, his highness, romi na likeness
in the beginning, god aliniumba na his own micness
born of a woman, bred na holy spirit in address
compet-tion na bacteria kwa gene pool na nitrate
wameshindwa kuni-handle wanangoja ni-rest, my guess
ati ego yangu ina-swell, nahitaji my sp-ce
step in my place, crevices mahali umairi hufichwa
earth ni curse, nikihepa voice zina-exist kwa kichwa
niko possessed, ndani ni voices zina-protest
the insane prophet, imebaki sina sanity ya ku-protect
niki-pacify rap na rhapsody, who else other than me?
na msururu wa ndoto na matumaini kwa caravan
tukituma doctors kwa streets na kungoja feedback
inspiration leaving traces ka maji moto kwa teabag
kuhesabu cl-ssics, tally mpaka vidole za mguu
the rappers, the poets, too nice mpaka tunajinukuu

[hook]
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance
i ain’t tryna make you dance
rawtrabo, nod your heads in advance

[instrumental fade]

[outro: romi swahili – spoken word a capella ]
tangu hizi mifupa ziunganishwe kuunda poetic sculpture
najaribu ku-make sense of the universe kwa hizi kurasa
but iko beyond my comprehension ni ka labour pains kwa tasa
but finally, nime-have kuisema, papa
nikitokea shule after hours still dressed in uniform
niliketi na wewe tukisikiza mbotela na kinanda leo
otherwise ungekuwa unachora na mimi na-paint na crayon
hours later nikisinzia, in your arms is where i lay on
not really sleeping nilingoja uni-poke mbavu
how you used to make me laugh mpaka koo inakuwa kavu
all along mama aliketi kando aki-knit na crochet
aki-match socks, i wish ninge-save hizi moments kwa pocket
fast forward, all i got ni memories tukiwa si wote
but jua huyeyusha mafuta si bado ndio hukausha matope
i miss the dinner table, anniversaries, graduation na kadi
the long trips home, family portrait, na harufu ya fabric
guza family yangu sahii na utakuwa kwa receiving end ya radi
1183, rawtrabo, we are more than buddies
regarded ka outcast place niliita nyumbani
lost and forgotten prophet nikichoma ndom na ubani
but ni aje teachings zitakufaidi nizieke tena siri, undani
ntakufanya ugundue knowledge ulipatiwa ni aka fimbo ya mbali
nak-mbuka nikiwa embraced na thick darkness nikingoja morning
under the moon that wasn’t glowing nikingoja dawning
my home ilikuwa next to dogs na fallen angels, ni romi
for the m-sses, ju wao ni a bunch of angry things na wako drawn in


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...