
lirik lagu toxic lyrikali - hood
[intro]
mmh
mmmmh
man a deed
pop ex
mboka doba
skiza
[chorus]
nikitembea kwa hood
niko na something to offer na nothing to lose
very rude mi sijai kuwa good
kwa hood the goon ndio hugeuzw~nga food
tension ju ya maboys in blue
unaeza dakwa bure bure na bado uzame tu
valia hood, washindwe kukuzoom
kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa hood
nikitembea kwa
[verse : 1]
approach kwa umbali utadhani niko cool
karibia karibia niku prove we ni fool
si lazima attitude ndio nikue understood
magazine hairudingi home full
kwa hizi chuom wanabuya
ndani ya kifua mbling zao azioni jua
dead boys we affi dead ju ya duya
nikinukisha after nimezidi ndio ut~n~sa
ka lorry ya taka taka kwa highway
sijali wengine on my own lane
alitii after kupatiwa long cane
ananiita t ju lyrikali ni long name
mostly miumuona na nguo za birthday
nimezungukwa na magoshodo ka bonfire
ni kitambo uskii mi nilisha expire
nimejiaminia one man empire
sina rada ya mbele guide me messiah
[chorus]
nikitembea kwa hood
niko na something to offer na nothing to lose
very rude mi sijai kuwa good
kwa hood the goon ndio hugeuzw~nga food
tension ju ya maboys in blue
unaeza dakwa bure bure na bado uzame tu
valia hood, washindwe kukuzoom
kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa hood
nikitembea kwa
[verse : 2]
na wa assume wakingoja ni wa amuse
ngware boys akirau alarm we unasnooze
kwa miguu na ground nimeshikilia ka root
tulikosana sai wanadai truce map~ss
wanaogopa polisi
na mraia inaogopa sisi
watuamini na sio wao pia sisi kwa sisi
adi pretty mi sionyeshi pitty
na move ka kipindi
father god lakini usiniache guide me
niko kwa giza adjust lighting
maganji nika na fanya drug deals
wanyongwe wakidai kunikulia ma hungry
father god lakini usiniache guide me
niko kwa giza adjust lighting
maganji nika na fanya drug deals
wanyongwe wakidai kunikulia ma hungry
[chorus]
nikitembea kwa hood
niko na something to offer na nothing to lose
very rude mi sijai kuwa good
kwa hood the goon ndio hugeuzw~nga food
tension ju ya maboys in blue
unaeza dakwa bure bure na bado uzame tu
valia hood, washindwe kukuzoom
kwa hood ndani ya hood nikitembea kwa hood
nikitembea kwa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu trippie redd - stick walk
- lirik lagu skaiwater - my girl
- lirik lagu ullah - what nightmares are made of
- lirik lagu jade bates - boys lie (rock version)
- lirik lagu zen michelin - limesong
- lirik lagu 2slayer - аутлет
- lirik lagu cyrus the hokage - entry two
- lirik lagu skrilla - kurt angle
- lirik lagu e cain - numb feat. tacobae
- lirik lagu 9ety - response to d1o (dylan) xx's unprovoked disstrack