lirik lagu top band - nilikataa
[intro: q~chief]
oy, oy
[chorus: t.i.d. & q~chief]
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali
[verse 1: t.i.d.]
oooh
walisema demu w~ngu kwamba wewe kicheche
oooh
magari ya kifahari yanakupa mawenge
oooh
k~mbuka mapenzi yangu hakuna zaidi ya wewe
oooh
maneno mengi hayavunji mfupa
maneno ni mengi, mwenzio siwezi
usingizi sipati
najuta mapenzi, kupenda sitaki tena unanipa wazimu
maringo ni yako, yananipa ‘wakati
wakati huu…
sasa mimi, ‘nimekubali we…
[chorus: t.i.d. & q~chief]
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
(oh, oh)
nilikataa, nilikataa
(nimekubali, stop)
sasa nimekubali we
(no, no)
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali
(aye)
nilikataa, nilikataa
(nimekubali)
sasa nimekubali
[verse 2: q~chief]
oooh
unajifanya mjanja
oooh
k~mbe bonge la mshamba
oooh
unadaka mikwanja
oooh
k~mbe demu wa viwanja…
ghetto usijе, demu mapepe, full kichеche
(oh~oh)
jikatae, usepe
najuta kupenda, ulishanitenda
(yeah)
uliniacha mi mpweke
ukisuburi niteseke
kina fulani wanicheke, darling
yeah, yeah…
[chorus: t.i.d. & q~chief, mr. blue]
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
(oh, no)
nilikataa, nilikataa
(oh, yeah)
sasa nimekubali we
nilikataa, nilikataa
(hey, hey, hey)
sasa nimekubali
nilikataa, nilikataa
(ah)
sasa nimekubali
yeah, what?
uh
sikia, let’s go
[verse 3: mr. blue]
love imegeuka glass, ma, ‘tugonge cheers
silipi kisasi, na’ nitatoka tears
bora ingekuwa risasi, umeni~shoot ‘nishajifia
ila ma, ‘inani~pain, basi navumilia
mbona mi nasikia, ‘halafu una bullsh~t (sh~t)
watu wananiambia, ‘naona wazushi
kama meseji imefika, ma’ please hit back
w~ngu malaika, ‘una feel this track?
niko mi na t.i.d., ‘tunalia every day
hata kula sijiskii, muulize hata master jay
niko tu ‘zangu ghetto, nakuwaza kila saa
naona kama wanabana, waki~shine na kachaa
ma, ‘ukiwa haupo naku~miss
ila siamini nikiondoka unani~diss
na, ‘taka tuishi kwa peace
miss, mi niamini kukuacha sio rahisi
[chorus: t.i.d. & q~chief]
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
(oh, oh)
nilikataa, nilikataa
(nimekubali, stop)
sasa nimekubali we
(no, no)
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali
(no, no)
nilikataa, nilikataa
(nimekubali)
sasa nimekubali
oh,oh
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali we
(oh, yeah)
nilikataa, nilikataa
(oh, no)
sasa nimekubali we
(oh, yeah)
nilikataa, nilikataa
(oh, no)
sasa nimekubali
(hey, hey, hey)
nilikataa, nilikataa
sasa nimekubali, we
(oy, oy, oy)
[outro: q~chief & t.i.d.]
sasa nimekubali
aye
(oy, oy, oy)
nimekubali
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu один день потому (inst: @1denpotomu) - світло (svitlo)
- lirik lagu los horóscopos de durango - que manera de perder
- lirik lagu maja marijana - jutros se mene ne sećaš
- lirik lagu azahriah - cipoe (full)
- lirik lagu the well - refuge
- lirik lagu leyky - elm.str33t
- lirik lagu bato - medicine
- lirik lagu eemrun - dreams
- lirik lagu flesh - taco
- lirik lagu the well - dragon snort