lirik lagu toffee montana - yamepita
on the track on the track
it′s walter
aaaaaah
yamepita yamepita
yamekwisha yamekwisha
yamekwisha yeh yeh
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
niko tayari kuanza mwanzo upya
niwe kiumbe kipya nizaliwe tena
iiiii yeh yeh yeh
yamepita
chuki na ubinafsi
yamepita
wivu na uporaji wa mali
yamepita
chuki na ubinafsi
yamepita
ukabila na vita
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
mabadiliko haya yamenifaa mie
baraka zako baba zimetawala
uinuliwe uinuliwe
uinuliwe uinuliwe
baba muumba uinuliwe
baba muumba uinuliwe
sifa zikurudie ewe baba
muumba wa ardhi na mbingu aaaaaah
iiiii yeh yeh yeh
yamepita
chuki na ubinafsi
yamepita
wivu na uporaji wa mali
yamepita
chuki na ubinafsi
yamepita
ukabila na vita
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
mawimbi yote
yamepita
unyanyasaji
umeisha
iiii yeh yeh yeh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu adow nono - te crees un dios
- lirik lagu serpentin - lieb mich
- lirik lagu dellaxoz - come again
- lirik lagu shreya ghoshal - jab saiyaan
- lirik lagu mari underrxted - plug
- lirik lagu dead poet society - black and gold
- lirik lagu 柴 柚葉 (shiba yuzuha) - i'm in love
- lirik lagu wase - 01. cos goonies [wdgaf]
- lirik lagu 古川慎 (makoto furukawa) - 光の回廊 (hikari no kairou)
- lirik lagu queris - offene arme