lirik lagu tmk wanaume family - nyumbani ni nyumbani
[instrumentals]
sha! sha!
verse 1: mh temba
t.m.k (?)
kwetu uswahilini, (duh)
huwezi kuamini wanaishi makachaa maskini
home sweet home’ bwana napazimia mimi
kiwanja nikafate nini? (eh)
kwetu nyumbani, maharage bora kuliko nyama
anayapikaga mama, mimi ndiyo nayapenda sana…
hapa hapa ndio nyumbani
mjomba hassani (eh)
washa koroboi, humu ndani mbu wamezidi, wanakwenda jino kwa jino, wanauma mpaka kisigino
sa ntalala wapi?
mkataa kwao ni mtumwa, na akikua atakuwa mw~nga
k~mbe anataka lager, akilewa akabwage manyanga
maji hayawashi gari, petroli haizimi moto, we mtoto
ubishoo haufai!
kwenu ni kwenu tu, hatakama hamnywi chai
bu~bu~be!
bu~bu~be!
bu~bu~bu~bu~ (anhaa!)
verse 2: kr mullah
nyumbani ni nyumbani’ hatakama kichakani (ndio)
una act unakaa upanga, k~mbe mtoto wa keko mw~nga
na tena’ kuna tetesi ya kuwa bibi yako mw~nga (sana…)
uongo sio dawa, kwenu ni kwenu hatakama mko majalala, mmeuawa
kwenu huonekani, wash’kaji wakija una wakaribisha kwa jirani (ayaa…)
tena ndo wa kwanza kushika remote control
mwenye nyumba anakuchora, anakuona tu bishoo (sana)
ridhika na unachokipata, hivi ni kitu gani haswa kinacho kufanya hadi ukaazime pamba?
nyumbani ni nyumbani, hatakama hujatoa kitu, hiyo sio kitu
usibabaike na majina, usionе wanakaa uzunguni, lakini sometimes ki~china (ndiyo)
we mbongo akili zako mbona za kitoto?
iwеje sista doo umnunulie chips, ukale mihogo?
ma~braza men kwa kutafuta sifa’
wana shinda masaki, w~n~lala tandika (noma…)
chorus: juma nature
shibe! shibe! (haina bei!)
shibe! shibe! (haina bei!)
shibe! shibe! (haina bei!)
shibe! shibe! (haina bei!)
hela ya kula nyumbani… (hainogi!)
utakosa burudani… (hainogi!)
kwani nyumbani ni nyumbani, hatakama kichakani (hainogi!)
verse 3: chege
nyumbani ni nyumbani, kwa jirani sio kwako
jishughulishe, komaa kichwa, tafuta ngawira, upate midako (uh ~huh)
usipende sana cheusi uweke (ah!)
huyu jamaa ana makeke (ah!)
anajifanya nguna halipandi kisa chips
wakati kwao kila siku nguna kwa ngisi
mtume!
amehama kwao eti kisa hakuna umeme
na ameshindwa hata’ k~mtambulisha mke wake eti kisa ana figa ya kiume
karibu, karibu, karibu nyumbani, jirani
karibu pita mpaka barazani
chagua moja, kujimwaga mkekani au jamvini?
verse 4:
usidharau kwenu, (eh)
hiyo haifai, tena nishai
au kwakuwa asubuhi hakupikwi chai? (duh!)
kwako ni kwako, si ndiyo chimbuko la wazazi wako? (eh)
hata kukiwa vipi, maji ya chumvi, gari haipiti
ndo nyumbani hapo, we jivunie’ ndo mungu alivyokupa’ usichukie
dagaa twende kazi, mambo nnayoeleza ndo kama dozi
eehn…hiyo idea!
ukila; kausha’ sio unataja
au kwakuwa umekua’ palipo kulea una pateua (haifai!)
hii dunia bwana, isiwe ina kuzuzua
nyumbani ni nyumbani, tia timu
mzimu!
verse 5: dollo
kwenu ni kwenu’ hatakama k~me ezekwa pamoja, sio hoja!
siwezi kuwa laumu, najua sote ni wa moja
mbona si ni wale wale, kila siku mlo mmoja
maisha yetu ya dhiki, bado tuna vumilia dhiki (wewe!)
inakuwaje vipi mwenzetu utu tangazie dhiki?
unakimbia bure nyumbani’ unalala kwa marafiki,(uh)
unalala kwa majirani,(uh)
una zurura zurura tu, hujulikani tu mtoto wa nani (mtoto wa nani)
jutia nafsi yako, ujue nini unacho kifanya (wewe!)
wazazi una waeka wasiwasi, juu kiulizo alama (hawana raha)
chorus: juma nature
shibe! shibe! (haina bei!)
shibe! shibe! (haina bei!)
shibe! shibe! (haina bei!)
shibe! shibe! (haina bei!)
hela ya kula nyumbani… (hainogi!)
utakosa burudani… (hainogi!)
kwani nyumbani ni nyumbani, hatakama kichakani (hainogi!)
verse 6: luteni kalama
wanaume! (eh!)
tujitume! mtume… aah!
tusikate tamaa tu’ tusonge mbele, tuwe makini
jovir na tw~nga, na piga miamo ya chini
p~p~p funk toleka!
mwanaume hasifiwi sura, pilika na kuhangaika (ihuu!)
hii kitu kati’ moto bati toka nsoma mpaka maruku
wese haliendi tupu, nyumbani ni nyumbani hatakama patupu
tia maguu nyumbani, udate!
nyuma mpaka mbwa (nyoo…)
mtu akilala ndani, mwenzio’ unamwona!
isipo nyesha mvua ujue’ siku hiyo tumepona!
hapaeleweki eleweki, pako feki feki
ndipo nilipozaliwa kalama bakari salum (?)
njengekemkeni (?) hadi wa mitomingi
hapa ndipo pa dingi, nyumbani karibu mpaka ndani
ni home maskani, nyumbani’ panaitwa (?) komesa kwa bi.mkubwa…
wanapoishi ma stelingi, ma dingi wa shua faza; na maza…(yup)
(?)
mbele kwa mbele, juu kwa juu (aminia)
wapo watu wenye ujiko; na roho za ki bitozi
ukimuuliza hapa ndiyo nyumbani kwenu?
anakataa, anataja kwingine, (ma cheki bobu)
pale… kwenye nyumba ya vigae
nje kuna prado na muso
wakati tupo kwenye kituo, stori nyingi, wassup nyingi
anavunga’ anazunguka na basi, ana vunga anakaa masaki, kwenda kwao hataki
kwenu, kwenu kukiwa mayebo kwenu
kukiwa arosto kwenu
ukienda kwao’ uta mhurumia
omba maji basi, ah! friji mbovu msh’kaji
niwekee movie, ah! deki iko kwa fundi (ayaah)
katoa namba za simu feki, ukipiga’ unaambiwa
“samahani kaka umekosea namba huyo jamaa hakai hapa”
[chorus repeat]
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu pasi - kop of munt
- lirik lagu 47ter - ovgtc star wars
- lirik lagu giacomo puccini - legna
- lirik lagu sheppard - somebody like you (duet version)
- lirik lagu cellar darling - dance
- lirik lagu jayko (az) - молодой такамори
- lirik lagu lauri tähkä - tuulisina päivinä
- lirik lagu lnx - trust to find again
- lirik lagu yfu baby - mukbang
- lirik lagu hugel, stefy de cicco & hugo cantarra - 4 to the floor