lirik lagu tmk wanaume family - msela ft. ngwair
intro:
uh!
msela, msela, msela msela…
msela, msela, msela msela…
verse 1: ngwair
yo! uh
watu tumeshadata na hili ghetto life style
shati back (?) na u~nelly wa x~plastaz (what?)
hey’ dark master ntembezee chata
kisha unipe kipaza nihubiri kama pastor
ndani ya ghetto ni mengi yashatukuta
lakini’ masela bado tunakomaa kutafuta
bado tun~z~saka’ hata kwenye vichaka
mtafutaji hachoki, akichoka ndo ameshapata
j~po sometimes kile kitu unachopata, ni’
tofauti kabisa na kile hata unachokitaka
ila’ mwanaume lazima tu ujifunze kuridhika
kwani ukichagua sana hukawii kutoka kapa
duniani wote hatuwezi kuwa sawa
na ndo maana wapinzani wa jadi mnapagawa (yeah)
kama nipo juu ‘ni juu (uh~huh)
ningoje chini, au unifate juu uvunjike guu
ma supastaa tuna ng’aa kwa pamba tunazo vaa
zina (?)
ila tunapo kaa wengine nyumba ya udongo’ nyasi
mlango wa gunia (uh~huh)
ndani hakuna kikombe, mwiko wala sufuria
zaidi ya kiberiti tu na kipande cha mkeka
na nikisha kula (..ishh! ) ‘mambo yangu naya weka
wala sioni hatari kula dona dagaa
siku nyingine hawa jogoo nao w~n~lala na njaa
na usione tumepinda ‘migongo
ukadhani’ ni vibiongo
pengine ni ufupi tu wa mlango
we endelea kula bia, acha mi nkapate gongo
ili mradi wote tuwe stimu’ ndio life ya kibongo ( msela! )
chorus: juma nature
mi msela’ kitu gani nifanye bwana
mi msela’ maana usawa unabana
mi msela’ hata chai inashindikana
mi msela’ naona kinakuja kiama
mi msela’ kitu gani nifanye bwana
mi msela’ maana usawa unabana
mi msela’ hata chai inashindikana
mi msela’ naona kinakuja kiama
verse 2:
maisha ya kisela’ si sawa na usela mavi
kunya wazi wazi’ kama unavyofikiri ,mduanzi
acha u n~z~’ nipe nafasi niweke wazi
we unafikiri usela ni kuwapora watu?
kulazimisha watu eti walale saa tatu
hiyo tabia sijui umeipata wapi?
wakati msela kama rasi
jah rastafari’ hana wasi
usivamie vamie vitu ovyo’ utaenda kombo
msela mtu msafi na ana moyo safi wa ki~skauti kama leader nyaki au master shafi (?)
nani mwamba
chorus: juma nature
mi msela’ kitu gani nifanye bwana
mi msela’ maana usawa unabana
mi msela’ hata chai inashindikana
mi msela’ naona kinakuja kiama
mi msela’ kitu gani nifanye bwana
mi msela’ maana usawa unabana
mi msela’ hata chai inashindikana
mi msela’ naona kinakuja kiama
verse 3: kr mulla
walishaomba mechi mwanangu ‘ili watupige
tukishafika, mtutimue’ mazaga zaga uyaibe
eti kisa (?) na mohammed kauzibe
anhaa!…k~mbe unafikiriaga tu dezo
iweje maneno yako mengi kuliko maelezo?
mganga mavumba’ buku ishirini mpaka sitini
kr bado nipo makini’ na nafikiri ni lini nta win
kila mtu nnaye mgusa ananiambia yupo porini
na amua kushika mpini’ kusonga mbele
naskia uchungu, nnavyoambiwa juma nature ni mtu wa misele
mambo yenyewe’ cha mtoto, asha ngedere
cheza… uchezwe’ kama pele
aisee haka ka kitu kanatw~nga…
anko dili zimekushinda sasa una w~nga
leo ni leo’ asemaye kesho ‘mwongo
chorus: juma nature
mi msela’ kitu gani nifanye bwana
mi msela’ maana usawa unabana
mi msela’ hata chai inashindikana
mi msela’ naona kinakuja kiama
mi msela’ kitu gani nifanye bwana
mi msela’ maana usawa unabana
mi msela’ hata chai inashindikana
mi msela’ naona kinakuja kiama
instrumentals
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu jesus culture - father of lights (father of lights)
- lirik lagu k camp - genuine love freestyle
- lirik lagu vanrip & cureton - away from you
- lirik lagu twilight creeps - blood junkie
- lirik lagu melo - moncler
- lirik lagu onassis - king of the jungle
- lirik lagu katey brooks - burn it down
- lirik lagu enterrador - sadística depravación (bonus track)
- lirik lagu uniiqu3 - comma$
- lirik lagu o'iank - non ho tempo