lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu tiffah devoice - chunga

Loading...

am tiffah devoice
mozee vibes

mwanzo wa mapenzi nilikua najidai
kirangaa koma umenimwaga kama chai
bila sababu penzi langu ukalimaindi
j~po uk~mbuke kuna siku ulifurahi
mara moja kukosa mitihani
naomba uk~mbuke kua mola ndo mpaji
la kw~ngu fungu limek~mbwa na zohari
elewa changa moto umaskini sio kipajii

we maji mkononi huwezi kuyashika
na mimwanadamu si malaika
we kabla hujafa hujaumbika
nitunzie mazaifu yangu oooh
penzi lilinikaba kama tai
j~po uliniaidi mi nawe till i die
penzi ukalimwaga kama chai
nami n~z~ma data adi wifi
mwenzako mi muungwana si mshamba wa mapenzii
nikawaida tu kukosana nasikuleta uchochezii
ooohh
mwenzako me muungwana si mshamba wa mapenzi
nikawaida tu kukosana na sikuleta uchochezii
nami nawasha moto (chunga chunga)
usichochee makaa (chunga chunga)
twachane salamaa mimi na wewe (chunga chunga)
nisifufue balaaa(chunga chunga)
usiwashe moto (chunga chunga)
usichochee makaa (chunga chunga)
twachane salamaa mimi nawewe (chunga chunga)
usifufue balaaa(chunga chunga)

aaaa aaa ooohhh
ulitaka vitu vingi unajuaa
ila ukweli ukuvipata najua
ila we nguvu ya mapenzi subraa
uwenda tunge pata pamoja
najua kila ulichotaka ulipaata
j~po ilikua sio kwa wakati ule ulotaka haya
ukafata mapesa ma noti watu wale wenye lamborghini
ukaniacha vibaya aaaahh

mwenzako mi muungwana si mshamba wa mapenzii
nikawaida tu kukosana nasikuleta uchochezii
ooohh
mwenzako me muungwana si mshamba wa mapenzi
nikawaida tu kukosana na sikuleta uchochezii

nami nawasha moto (chunga chunga)
usichochee makaa (chunga chunga)
twachane salamaa mimi na wewe (chunga chunga)
nisifufue balaaa(chunga chunga)
usiwashe moto (chunga chunga)
usichochee makaa (chunga chunga)
twachane salamaa mimi nawewe (chunga chunga)
usifufue balaaa(chunga chunga)
am tiffah devoice
mapozi familly eehh
aaah na baba feisali
yeah
k!ll vibes from moses


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...