lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu thekenyantroublers,osuwojr,m_khimzy - nakutaka

Loading...

ooh! ooh! ooh! oh my!

heey!heey! baby gal me nakutaka
wooi! wooi! pretty gal umeniteka
aaai!aai! kupendwa kwako nitabambika
saa ngapi? na wapi ? nitume uber sure utafika
wanasema mi hu hoe, jowa jogowuondi ,waah!
mara mimi huwa huboo, dawe wana wivu , aah!
unauliza mbona nakupenda ,wueeh ni mwivo si siri
ndoo maana me nakutaka usije ukanitalaka

baby gaal , mimi nakutaakaa
pretty gaal sure umeniteka
baby gaal mimi nakudaai
na ukikataa ,hata sitaskia vibaya

waist!~check
eyes!~check
ass!~check
dimple!~check
tummy!~flat

sure gaal waah, wueeh ndoo nakutaka
kila time nikikuona me huenda mbali
kizunguzungu kwenye akili , hope utakubali
acha zako mbaya mbaya,nakutaka sio punye
picha zako nimetuma nyumbani wamekubali
ruracio tutaenda dala kucha iluonge nyombo
me ni gb si chochani ni kusema na kutenda
ukiwa around karibia harufu yako naipenda
halafu smile yako bana , iumeenda shule
kwa magoti nakubеg sema yes! yes! yes! bana
tukosane tupatane brеak up ni upuzi`

heey!heey! baby gal me nakutaka
wooi! wooi! pretty gal umeniteka
aaai!aai! kupendwa kwako nitabambika
saa ngapi? na wapi ? nitume uber sure utafika
wanasema mi hu hoe, jowa jogowuondi ,waah!
mara mimi huwa huboo, dawe wana wivu , aah!
unauliza mbona nakupenda ,wueeh ni mwivo si siri
ndoo maana me nakutaka usije ukanitalaka

baby gaal , mimi nakutaakaa
pretty gaal sure umeniteka
baby gaal mimi nakudaai
na ukikataa ,hata sitaskia vibaya


holla mammi, napenda figure yako, so fine, ooooh kadolly
only, tell me wen you decide, hakuna haraka no worry
ngori, i don’t do chasing, its kinda boring
is alright, never been one of the h~rny and lonely
first tunachase na one nite stand kama vibe imemendi
form ya kimboka, up my game cos this girl nisha dedi
from first mimi nimekuwa tu sete
but they told me i need a game for city
and i went down deep rural to my locale
kusaka form then kwa game re~occur
and am feeling arrogant like a buffalo…
there melodies in my mind and they real slow
like pac i got this wackflow, cos this game is the only thing i work for…
na nko na mamma that i could die for, a lady i see and my d~ck go hard~core
crush anadai come ghetto, howd you even place your trust on a psycho
heey!heey! baby gal me nakutaka
wooi! wooi! pretty gal umeniteka
aaai!aai! kupendwa kwako nitabambika
saa ngapi? na wapi ? nitume uber sure utafika
wanasema mi hu hoe, jowa jogowuondi ,waah!
mara mimi huwa huboo, dawe wana wivu , aah!
unauliza mbona nakupenda ,wueeh ni mwivo si siri
ndoo maana me nakutaka usije ukanitalaka

baby gaal , mimi nakutaakaa
pretty gaal sure umeniteka
baby gaal mimi nakudaai
na ukikataa ,hata sitaskia vibaya

amenishow eti anataka true bond.. ati aliskia kwa hood mi ni player
but ofcourse they didn’t wanna tell yuh
no checkbook napendwa tu bure
na kuna huyu anapiga keroro
kwa manzi yangu ~n~leta osoro
vibare namchapa kisogo
paaa! paaa! mangoto kidogo, uuuuuhu


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...