lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu the mafik - rahisi

Loading...

tumalize tofauti we tafadhali
baby without you sun dont shine
i feel like i feel like i lost in long long way
without your love am going crazy

hawapendi tushibane tupendane mpaka raha
kila mara tukosane nikutukane ukose raha
hawapendi tushibane tupendane mpaka raha
kila mara tukosane nikutukane ukose raha
uuuuuuuh yeah

rahisi kama kuhesabu moja mbili tatu
dunia inamaajabu watu na viatu
rahisi kama kuhesabu moja mbili tatu
dunia inamaajabu twavumilia

baby dont do like that
dont do like that
dont do like that
baby dont do like that
uuuuh
dont do like that

the way you smile it’s simplifies your heart
the way you move
mmmmh
why do we fight why dont we try this time
like we always do uuuuh

vipi unapita muda baby hatusemeshani (yaani)
si una dakika check number nipo hewani
unanirusha when am calling haupatikani
si unadakika check number niko hewani
eeeh eeeh

rahisi kama kuhesabu moja mbili tatu
dunia inamaajabu watu na viatu
rahisi kama kuhesabu moja mbili tatu
dunia inamaajabu twavumilia

baby dont do like that
dont do like that
dont do like that
baby dont do like that
uuuuh
dont do like


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...