lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu tanasha donna - gere

Loading...

verse one
ati unapenda kuni kikupa mpaka morning
nikipekenya pekenya nisiwahi nichelewe
kikuchum mdomoni touchi touchi kiunoni
mi natekenya tekenya nakufanya ulewe

ooh you are my sweet chocolate oh star
sorry i can’t contemplate all life
and baby gotta write for me and show me that you are mine
ooh ooh

am a go downtown for you
call you king put a crown on you
and baby take your time with me
it is all i crave for now

asa show me ile kitu
amekupa mama ebu chutama
kama inazama nikupige chenga kwa dana dana
tuwafunge kelele aiyayaya

jioni usiku mchana
jua likizama tuanze kandanda
nikuonyeshe kile amenipa mama
so wafunge kelele maana wanaona

chorus
wanaona gere, wanaona gere, wanaona
gere wanaona ge ge ge ge
wanaona gere, wanaona gere, wanaona
gere wanaona ge ge ge ge

verse two
don’t you ever leave me solo
or disappoint me with this basic hole
you make my heart go loko loko
utawapa misemo wa noko noko

and you better tell them that you mine
the better thing i rather die
kabla ya kuwika jogoo
asubuhi niamshe na kiboko

eeh, mama kasema mwali mwana
nimepata nitulie simba
ooh nitulie simba
ooh nitulie simba

zile chenga vidangadana vicheche
nichunie simba
ooh nichunie simba
ooh nichunie simba

asa show me ile kitu
amekupa mama ebu chutama
kama inazama nikupige chenga kwa dana dana
tuwafunge kelele aiyayaya

jioni usiku mchana
jua likizama tuanze kandanda
nikuonyeshe kile amenipa mama
so wafunge kelele maana wanaona

chorus
wanaona gere, wanaona gere, wanaona
gere wanaona ge ge ge ge
wanaona gere, wanaona gere, wanaona
gere wanaona ge ge ge ge

verse three
asa baby nikomeshee
katii katika, kata
kati kati katika, kata
donna katika, kata
ooh baby katika, kata

when you hold on to me, kata
when you follow my lead, kata
moving side to side baby, kata
ooh kati, kata


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...