lirik lagu t.m.k. wanaume halisi - tatu bila
verse 1: mzimu
tunamshukuru mola kwa kuongoza hii ligi
sisi hatujatoka kapa, nanyoosha mikono kweli naapa
ushindi haujaanza hapa, sio ushindi wa matuta, au ushindi wa mezani, au wa magazetini
~nguli k~mlaumu kutoa kinywani~
ngoma hii dakika tisini, tii! kitu dimbani, nalonga sasa kapteni
mwanza, (tatu bila!)
arusha, (tatu bila!)
kila shuti, waya!
tushahama ma~forward ngome pinzani yote inapwaya
watu walisha tabiri, timu hii haiwezekani
kabla ligi haijaanza, tulishajua mshindi nani
verse 2: dollo
tat~ tatu bila!
kubali matokeo, punguza hasira
hadi mechi imekwisha hawajagusa hata mpira
mpira chini snake, snake, snake pass’ tah! tah!, hatuna wasi
tunachapa mwendo muziki’ kwetu kazi
kikubwa cha kujifunza, uwe na wivu wa maendeleo
anayebisha anabisha, na asubiri matokeo
mjinga mjinga unakuja unaburuzwa buruzwa, kuja kushtuka’ chali…
muziki tunafanya hatu~mind zile za kifahari’ halisi
verse 3:
halisia’ huanza kwanza na tele matata
kutafuta nikupata kile ambacho unataka
ushindi wowote, kokote, hauji kwa kuzira
hii ni kwa yeyote, kokote, usijenge hila
fa~fa~farijika
(?)
tatu bila,naona neema zinamiminika, yaani ile krrr…
kuja hata(?)
furaha inahusika
(?)
yongo yongo hii
katika ramani hii
aina hii
tumechukuwa tumewеka, waah…!
mambo waah…!
ge~ge~ge~gaaah
chorus: juma naturе
ee~ee~eeh (tatu bila)
wamebana wameachia
tatu bila, tatu bila, tatu bila (tatu bila)
wamebana wameachia
ee~ee~eeh
wamebana wameachia
tatu bila, tatu bila, tatu bila (tatu bila)
wamebana wameachia
verse 4: luteni kalama
(?)
tatu bila, hiki kichwa timamu si cha tahira
naenda race, na overlap, kama kuna gap
pasha! waya! (crowd cheering)
hilo goal…
tatu bila’ uvumilivu, twende, twendeni labda mtakula mbivu
si bado tupo kwenye hali ya mchezo mbele hakuna kigezo
mi bado mwanaharakati, tamaa sikati
nasonga’ kama kinyonga
mpira pasi sio butu butu
(toa pande, toa pande, toa pande)
kanzu, darizi, tobo
kalama sipendi shobo
verse 5:
tatu, bila!
tatu, bila!
aibu yetu, aibu yao? aibu yao wenyewe!
ni michuan’ gan ya tatu bila
nipo kwenye kipaza, p~funk kwenye mitambo
nataka elezea tatu bila kitu dedwe
kwanza hatuna migogoro, track zenu kasoro
nature sio kwa uchochoro
eti dar mpaka~
verse 6: malipo
tatu bila!
wapinzani wamepagawa, hakuna tena mpinzani
timu haina hela, wachezaji choka mbaya
niite malipo, sometimes sipendi ujiko
mi nakuja kama “bettle”, natisha kama gaucho
muziki kama soccer, piga tizi we utatoka
pasi moja moja, ushindi wenye kishindo na wala sio wa papara
haaa…
verse 7: inspektah haroun
mi nashaya, cross dongo’ ukigusa waya
ukiweka timu, tatu bila!
mpaka unawira, kwetu ushindi wa che, tunataka ufie mavumba, gawira…
mwendo mpera mpera, mchibuyu! (anhaa)
bambi kwa bambi, ujanja kushika chambi
kiumeni halisi ipo kambi
dakika tisini za mpira, bado tatu bila
unabaki umeduwa, utakunywa sana superletta’ bar
ukiulizwa oh, oh… nimemeza ~metacyphlin~ jana na dose
k~mbe kapuku, mif~ko empty, unaona gozi gozi
pumzisha timu babu, kitambi usijitie majonzi jonzi
chorus: juma nature
ee~ee~eeh (tatu bila)
wamebana wameachia
tatu bila, tatu bila, tatu bila (tatu bila)
wamebana wameachia
ee~ee~eeh
wamebana wameachia
tatu bila, tatu bila, tatu bila (tatu bila)
wamebana wameachia
verse 8:
tatu bila ndani ya hili game, tough! tough!
dakika ni ya tatu, na tumeshashinda tatu
oh, defence, effect!
muhimu sana; sana sana tumezaliwa kuchana
mwaka huu mbona mtajuta, mtavua bukta jezi
mic sitembezi’ ma~fans ndo wanajua nani mkali nani hawezi
acha hila, ondoa hasira
verse 9:
chekera macho
choka mbaya, kilanga komo
nyaka nyaka
vibaya vibaya’ wata chunga barabara
mchagaa akauze butcher
kigoma akavue dagaa
mtwara korosho zimeiva
mzimu umefika!
verse 10:
yup, yup, yup, yup, yup, yoh!
asiyekubali kushindwa, si mshindani!
apendaye vya kuchinjwa, hulia gizani!
hakuna ushindi wa mezani
tumeshika usukani, wa kutoa burudani nje na ndani
hatuna mpinzani (tatu bila!)
mechi uwanjani,wamezama kizani,tukitua dimbani, kiwanja nyumbani, tuzo yetu nishani, pasi hatunyimani, ni kuchapa timu pinzani
we tatu bila!
ni kama bush (?) na ma~born town
haijulikani mshindani, mbishi haonekani
tatu bila!
tatu bila!
verse 11: juma nature
[bees humming]
usiwafungulie nyuki, mtoke nduki
ukilianzisha “ball” tu, mi nakanyaga nduki
weka kigingi, niweke chuma
weka ugoko, niweke jiwe
tit~for~tat’ huzungushi na manati white
ushindi si ku~copy, ushindi si ki pompi pompi au kipo~mpire~papa~mpa
ni mwanzo mwisho, mpera mpera, tume peperusha bendera
hakuna kukata tamaa kwa jambo dogo hili, halisumbui akili
( kabisa!)
ngoma tatu, tatu, tatu, nimeshapiga tatu; tatu, tatu, tatu, tatu bila
palilia chale mwanangu,mwaga matandu, tia jalo, kitu mwaah…
(kimepaliliwa)
aya..
(tatu bila)
si unaona?
(tatu bila)
chorus: juma nature
ee~ee~eeh (tatu bila)
wamebana wameachia
tatu bila, tatu bila, tatu bila (tatu bila)
wamebana wameachia
ee~ee~eeh
wamebana wameachia
tatu bila, tatu bila, tatu bila (tatu bila)
wamebana wameachia
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu .223jerm - retaliate
- lirik lagu killer demon queen - i just want u
- lirik lagu det er mig der lyser - bench in the bar
- lirik lagu j. warren & tristan jaxx - it's too late
- lirik lagu tyler richardson - flowers
- lirik lagu j delaa - passion
- lirik lagu jo-trek - matdama34
- lirik lagu mijo mija - mañana, nos vemos mañana
- lirik lagu sxdszn - insomnia
- lirik lagu k.a.a.n. - not for me