lirik lagu sugu (tz) - salamaleku
[intro: sugu, balozi, & afande sele]
salamaleku, balozi
aleik~m salam, mr. 2
afande sele, salamaleku
aleik~m misalam, mr. 2
amani iwe kwa wote
[verse 1: sugu]
sema “asalam aleik~m”
niseme “aleik~m salam” (salam)
tunapeana salamu kutoka dar~es~salaam
bado wino unamwagika toka kwenye kalamu
sitangazi umwagaji damu
utamu wa amani wote tunaufahamu (tamu, tamu)
nishike mkono, nipe na tabasamu (tabasamu)
kokote unako kwenda nenda wape salamu (salamu)
toka afrika mpaka ulaya
kila nnako kwenda nakutana na watu wabaya (baya)
mungu ananiepusha na naimba, “haleluya” (haleluya)
mimi niko salama, nasimama natizama nyuma (wima)
wenzangu hawako salama
ni kama wanasubiri tu ifike kesho kiama
zama’ wote wananitazama, ndipo nasema
kina baba, kina mama
salamaleku
[chorus]
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salam
[verse 2: balozi]
wasalam alеik~m [?]
[?] watu, mimi na juk~mu la kuendeleza amani
barani afrika ‘kila kona nikitazama naona k~mеchaf~ka (peace, peace, peace)
kwanini hatuwezi kuishi bila kujali dini, ‘rangi au kabila
kila panapo kucha na’ mshukuru mola
amani bado ipo hapa kwetu
kila binadamu na wanadamu wenzake ni ndugu
au’ unasemaje mr. sugu, ‘sawa sawa (sawa)
mimi na gahawa tuendele [kuche?]
hapa kwetu hatutokubali kuwa na udikteta
tungekuwa tunawafundisha watoto wetu mambo mema mapema
tusingekuwa tunarudia kusema, amani idumishwe hapa kwetu (balozi, sema)
wasalam, aleik~m
[chorus]
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salam
[verse 3: sugu]
salamaleik~m
aleik~m salam
fungua macho, hicho ulicho nacho sicho ulichonacho
sema ni kipi cha thamani ulichonacho?
ni ustaarabu au ni pete na mikufu ya dhahabu?
(uh~huh)
mbona unanitazama kwa ghadhabu, au labda nazungumza bila adabu
nazungumza kwa sababu nna sababu kama kungoja nitangoja
roma haikujengwa siku moja
najaribu kucheka na adui zangu wako wengi, wengine ni ndugu zangu
mungu ndiye mlinzi w~ngu (iyah)
nasema salamaleik~m
hakuna anaye jibu, “walek~msalam” (vibaya sana)
wote wanatamani k~mwaga damu
ubinadamu kwao sio kitu muhimu
nani anapenda vurugu?
sisi sote ni ndugu
naomba tuishi kama ndugu
kwa wakristu na waislamu, ‘salam aleik~m
walek~m salam
[chorus]
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salamaleku (aleik~m salam) salam
salam
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu بو كلثوم - w2dli - bu kolthoum
- lirik lagu victor mühlethaler - a resposta é não
- lirik lagu new - hong kong odds: secrets to successful betting at luck8
- lirik lagu spr1teprod09 and kin4t4 - slvt f3v3r
- lirik lagu cassowary - move!
- lirik lagu timblat - стройные мамочки (slim mommies)
- lirik lagu andrew kamen - safe
- lirik lagu meemo - 365 summer nights
- lirik lagu (73) t.y - let's go
- lirik lagu chris connor - radar blues