
lirik lagu steve jnr - upkeep
yoh yoh yoh
anadai za upkeep tena na tena
shawty anataka nikey tena tena
me hupiga night shift
so sidhani ka ntatema aii
all night nko rada nasaka cheda tena {tena}
tena tena na tena
morio ni ka light weight
amezima mapema
anasemanga amemedi
so washa ingine tena
tena tena tena na tena
hujaweza na unaringa kwenda
money on my mind
shawty me nasaka cheda
na sidoz ju ya ndai
aii aii
bei ya benzo inanitesa walai
wakubanja wabanje ntawai
life ndani ya hood imeniharden walai
ukidai shika mkwanja
kazana my guy
35 ndio zone tumekuja na marhyme
hizi sides hizi side
usicome na pace ebu pause
p~ssy boy mbona unajigas na unaforce
manzi anajibeba ati ni baddie na hoe
sunday chini ya maji zimengam nikufloat
nikufloat
mboto ni kali na siezi post
walai unaezadhani najiboast
naji boast no lie
usighost na umeshinda ukinicall walai
usilost na ulisema utanikanja walai
anadai za upkeep tena na tena
shawty anataka nikey tena tena
me hupiga night shift
so sidhani ka ntatema aii
all night nko rada nasaka cheda tena
tena tena na tena
morio ni ka light weight
amezima mapema
anasemanga amemedi
so washa ingine tena
tena tena tena na tena
yohh
doba si ni rena tumerudi kwa ring ka the style bender
nawacheki nawastudy usiseme nyi ni bigfish wengi wenu mnakaa omena
kwa beat naeza go crazy kushinda kennar
ka huna words rudi shule ukasome tena
excuse me ka unaona nakuboo me naeza apologize na nifanye tena
strange, hamtaki kuinspire yet mnadai change
it’s a free world lakini tuko kwa cage
ukiskia doba unafeel nini? nilisaringi kuchonga tu kufill page
hatuko bridge same ju me napush for change
weeeh unarudia malines ndio push range
morio alisema ako armed to t~~th huh but bado hizo meno tulirearrange
huh
nafeel fiti yaani ju niliacha kufly na fifty yaani
me nilikuja kulearn man hii life ni test so
ninatry kupita hii mtihani
anadai za upkeep tena na tena
shawty anataka nikey tena tena
me hupiga night shift
so sidhani ka ntatema aii
all night nko rada nasaka cheda tena {tena}
tena tena na tena
morio ni ka light weight
amezima mapema
anasemanga amemedi
so washa ingine tena
tena tena tena na tena
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu fool's garden - home - studio version
- lirik lagu thékho - 'one'
- lirik lagu mid70s - right side of love
- lirik lagu pegboy - hey, look, i'm a cowboy
- lirik lagu the streets - brave st andrew
- lirik lagu lil xan - xan money
- lirik lagu el chacal & los alpes floreados - ahre
- lirik lagu pleasantries - giants among men
- lirik lagu kevin johansen - 5 in the morning (great divide)
- lirik lagu prcy® (musician) - moment of reflection // intrld