lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu steve jnr - paradox

Loading...

our lord
is a bit misleading
in the beginning the lord said to himself get lost man
and uh he disappeared from site and became all of us
yohh
a f~cking paradox my existence imejaa tu na ma question marks
“f~ck the system” hiyo ndio modern day revolution
me utry ku learn life where’s the learning institution?
ushaikaa chini kudiscuss uchome moja ukipass
spirituality mind evolution
the lord himself ndio mwenye ako na yangu trust
lakini swali did he actually forget us?
coz
apparently i’m getting older
i’m only 22 but venye nathink
nisipopata hapa float kuna venyе ndasink
ni funny ni a piece of paper ndio inamеasure vile situnathink
naona nikisaka yangu way
the ski mask way ndio nipate fast pay
i told bro me sijali vitu watu say
opinion zao of course hazijawai pay
no wonder me sikw~ngi within
msinitrace mmtaniwai me ni ka lupin
wengine watabonga wengine round applause
at the end of the day hawakukua ukibegin
sikatangi liquor ni maziwa ndio me nachase
nikicheki kioo mtu mzii ndio me naface
sazingine nakaa ju ni kama nawaste time
hawanishindi kurhyme hawana what it takes


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...