lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu steve jnr - cluster

Loading...

leo nawaserve but mimi ndio master
kama unadhani kwa beat weeh ni chepe me nakushow hufikii hii cl~ster
ninarhymes zitaleta disaster
ka uko kwa floor nakuja na duster
me usinitry ju utapata fracture
kwenyu ni rap kw~ngu art so inshort me narap for the culture

things haziadd up off late zinanionyesha syntax
kusaka job already ni job nashinda nagrind nashikwa na blister
un~n~sa ngori unasaka god k~mbe shetani ako hapo anawhisper
sleep is the cousin of death design wako close unaezasema nimasista
boy wako anasukwa ni mrs then unapata mr
nilijua way of the cross way before mcelebrate easter
kuna fala alipatwa akilurk then akalia ati ye ni mnisa
hauezi do venye me naidu madoba nadrop someni ka scripture

wanacheki top wanaona ceiling saa hizo me niko kwa sky
ka weeh huset walai ndio utajua the feeling hapo siwezideny
bro unishow live your life journey ni refu rodi ni wide
wengi wamefumble hii game ya life choice ni yako ni weeh udecide
makang’es si mtakula hii ticky {tuh! tuh!}
b~tch ass n~ggas wote wapatiwe mini
me nimechill na niko kwa ring nashusha steam
doba zangu unaezarelate na bado ni clean

look
leo nawaserve but mimi ndio master
kama unadhani kwa beat weeh ni chepe me nakushow hufikii hii cl~ster
ninarhymes zitaleta disaster
ka uko kwa floor nakuja na duster
me usinitry ju utapata fracture
kwenyu ni rap kw~ngu art so inshort me narap for the culture

leo nawaserve but mimi ndio master
kama unadhani kwa beat weeh ni chepe me nakushow hufikii hii cl~ster
ninarhymes zitaleta disaster
ka uko kwa floor nakuja na duster
me usinitry ju utapata fracture
kwenyu ni rap kw~ngu art so inshort me narap for the culture

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...