
lirik lagu steve jnr - all fine
me ninacheki a couple of sad faces
mwili ndani ya cases
kwa court ni mapending cases
the same stories but written on different pages
nabanja na bro ananishow hiyo ni life stages
sare kucompare me sijui what you facing
embracing positivity ndio niattract blessings
i gotta grind ni sare vako za manifesting
my mind imejaa but mf~ko bado kuna sp~cing
my heart is racing sijui ka nitafika
naota mandai zenye sijui ata ka ntashika
naamka mangware nimejam staki riba
wakienda kulewa me siko nao huwa sikati liquor
nadai hii art inipatie metre
mwenye nguvu mpishe hujanicheki ndio huyo me na pita
msiposkiza si ni sawa though
but marapper wenu best ni watoto nasibanji rika
my brothеr told me it’s all fine
tupate tukosе tukeep in mind it’s all fine
ni vosty kwa mic unaeza copy the flow fine
nakama unataka ni lose sawa it’s all fine
my sister told me pray lord nishow sign
i’m just a simple young man still ain’t nothing changed
very ambitious ain’t nothing changed
so kama itahappen let it happen in god’s time
yoh
me uwachekingi hapo kwa feed
they still can’t see the vision that’s why they doubt the kid
my 10 listeners wanauliza tape ni lini
nilishaquit lakini god aliintacede
kupush for change sahii ndio routine
miutaka kudoz but ni na 6 figure dreams
lines ni cold lakini stu ni 100 degrees
sa mbona ni rat hataka niko after the cheese
me nachonga mapiece
naingia booth nadrop verse your beat na verse zinacease kuexist
uko p~ssed why mbona
ninask!ll siezi kamiss ni very soon mtanidigi niko kwa hizo malist
unaezapose doba if symptoms persist
nawacheki nawasoma vosty ni mentalist
leo naona ni kama nimefunza sana tunaeza end manze class dismissed
peace!
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu glocki52 & kebsta - u.l.e.y
- lirik lagu mako - i won't let you walk away (mystery skulls remix)
- lirik lagu beck - vigilante man
- lirik lagu g8jas & bluehour - no more lie
- lirik lagu clovers daughter - infatuated
- lirik lagu rox3s - puppet
- lirik lagu xatokai - extraordinary
- lirik lagu spinache - ona przyjdzie
- lirik lagu manyice - freaky
- lirik lagu deadrai34 - higher to the stars (outro)