lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu stara & party - nyota ya kungara

Loading...

(eleni white, aliona, nyota nzuri
nyota (zenye kung’ara)x3
nyota hizo, zikianguka
nyota hizo, zilizong’ara
(zikianguka)x2
nyota (zenye kung’ara)x3
nyota hizo, zikianguka)x2

na ndipo, eleni
aliambiwa, zile nyota
zilizong’ara, (zikianguka)x3
wale (ni wachungaji)x3
wainjilisti, waimbaji
ni vijana, ni wazee
ni watoto, akina mama
nyota (zilizong’ara)x3
leo hii, zimeanguka

eleni white, aliona, nyota nzuri
nyota (zenye kung’ara)x3
nyota hizo, zikianguka
nyota hizo, zilizong’ara
(zikianguka)x2
nyota (zenye kung’ara)x3
nyota hizo, zikianguka

(makanisa yetu, yalikua na nyota
(zilizong’ara)x2
leo (zimeanguka)x3
na nyingine, zinafifia)x2

wahubiri, wanachukia
wakiambiwa, waache dhambi
waimbaji, wanachukia
wakiambiwa, waache dhambi

u… u… u… u… u…
i… i… i… i… i…
u… u… u… u… u…
m… m… m… m… m…
ye… ye. ye. ye. ye…
u… u… u… u… u…

eleni white, aliona, nyota nzuri
nyota (zenye kung’ara)x3
nyota hizo, zikianguka
nyota hizo, zilizong’ara
(zikianguka)x2
nyota (zenye kung’ara)x3
nyota hizo, zikianguka


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...