lirik lagu stanley thiaine - bwana nifungulie
lord open for me
1. i have suffered a lot
but my god did not let me die
so i will not die
i will live, tell god
your deeds father
your deeds
2. chorus
lord open for me
the gates of justice let me get in
lord open for me
the gates of justice come in
3. my father and mother
they left me, but o lord
you will welcome me to you
to you my god
i was thrown away from childhood my god
4. you have saved me father
i am victorious from the city
you have saved me father from the trouble in the wilderness
you have saved me father from the distress of the sea
so my god did not let me die
so i will not die
because i will live i tell god about your deeds
tell god about your deeds
kiswahili
bwana nifungulie
1.nime teseka sana
lakini mungu w~ngu hukuniasha nife
kwa hivyo sita kufa
mbali nitaishi mimi
niyasimulie mungu
matendo yako baba
matendo yako baba
2. chorus
bwana nifungulie
malango ya haki ningie
bwana nifungulie
malango ya haki ningie
3. baba na mama yangu
wameniasha mimi
lakini eewe bwana
utanikaribisha kwako
kwako mungu w~ngu
nalitupwa mimi kutoka utotoni
mungu w~ngu uuu
4. umeniokoa baba
nashinda ya kule mjini
umeniokoa baba na taabu ya kule nyikani
umeniokoa baba na dhiki ya
baharini
kwa hivyo mungu w~ngu haukuniasha nife
kwa hivyo sitakufa
mbani nitaishi mimi niyasimulie mungu
matendo yakooo
niyasimulie mungu matendo yakooo
written, composed and arranged by
stanley thiaine
………………………………………………….…….…….……………………….
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu fluksa - извини но так надо :( (i'm sorry but it's necessary)
- lirik lagu asix[ro] - ma urc in maybach
- lirik lagu ash taka - eternal nihil
- lirik lagu rosewolke - in your ear
- lirik lagu ynkeumalice - end of days
- lirik lagu sugar horse - pity party
- lirik lagu piratpirate - star in my heart
- lirik lagu yung icon - curse
- lirik lagu esex - myspace romance
- lirik lagu clako & pittkiid - 4 дырки