
lirik lagu songesha - isanganative
isanga native ni kikosi kazini
jiti asilimia ufanisi unabisha nini
nipo mbeya nguvu kazi kama wajeda wa mbalizi
ukileta mzaha nakung’oa meno yote kwenye fizi
acha masihara utani jipe shughuli
ikiwa hushughuliki huli hutafuni vituli
na ukileta kiburi utanipata kuli
nimebeba jeuri nimevimba nimetuna misuli
yaani kibabe hawafu nimechill kishujaa
mabavu kibao ni nguvu zimejaa
kwenye beat i load and i unload bars i’m dock
of rhymes with punchlines i’m punchin’ the clock
hard i’m grindin’ puttin’ in work
my n~ggah no days off i’m broke
that is why i rap like the rent is due
u cant get fool but i love what i do
i does what i love i appreciate what i have
and i love me ndio maana najipa shavu
sizitaki tabu baraka zangu nikihesabu
nikithaminisha ipo neema tele ni thawabu
nakosa sababu ya majuto siwezi kujutia
mapito najifunza kwa niliyoyapitia
na siwezi kurudia makosa kuyasahihisha
najiweka sawa niweze jirekebisha
nasimama imara nikianguka vumbi kujipukuta
mbele najikokota nikiinuka kama guta
sirudi nyuma nasonga na wakati
kila siku naishi nikifurahia nyakati
za muda husika i live to experience life
breathin’ healthy and alive aint that enough
aint that a gift man u should know
at any moment of your presence buda u can go
…dead ndani ya jeneza
oyaah noma noma
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu kilka centymetrów - doniu
- lirik lagu footless edit - elysia crampton
- lirik lagu flwrsflwrs - pellton
- lirik lagu graveyard - 11lunatic
- lirik lagu chronus - xinon (usa)
- lirik lagu vibrato - tenblank, overchrome
- lirik lagu hate you (bonus) - poisoned
- lirik lagu terör damlaları (live) - sagopa kajmer
- lirik lagu dragon boy - samoht
- lirik lagu why cant i cannibalize u - qori.