lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu so-lo (tz) - janjawidi episode 4 (nafuu)

Loading...

intro:
tunafanya kazi tu
nafuu
bado natazama juu
nafuu
tunamwomba mungu tu
nafuu

verse 1:
alright
sioni kitu kama sio ishu mi natoa kitu
kila siku wape kila kitu haitatosha kitu nikwambie kitu?
usipokaza ndo hupati kitu!
toa kitu ndo upate kitu watakuona chief au mtakatifu uzikate beef, pesa kama kisu
n~z~saka nachomeka jua
ntazipata hata inyeshe mvua
nikizipata ndo mtanijua haleluya, sumu ya uchawi dua
happy day iwe kesho isiwe kama yesterday kwa shida tumekua
hata ukilia haisaidii
kaza nia kujitahidi, maana

hook:
tunafanya kazi tu
hatuoni unafuu
tunamwomba mungu tu
bado hatuna nafuu
bado natazama juu
mbali juu ya mawingu
bado sioni nafuu
bado hatuna nafuuuuu
nafuu
bado sioni nafuuuu
nafuu
bado hakuna nafuuuuu
nafuu
bado hakuna nafuu
bado hatuna nafuu
bado hakuna nafuuuuu, nafuu
nafuu
nafuu
nafuu
verse 2:
bado hatuna nafuu
mkate wa kila siku
tumuomba mungu tu
kesho iwe sikukuu, heh
mwana fanya kazi tu
vunja vunja vichuguu
mama piga kazi tu
uza hata vitunguu, yeah
wengi wataongelea, potezea hawajui ulipotokea
waache wakuone unavyosogea
wakati wa shida walitokomea, ukishawin wanategemea kukusogelea
ndomana sina ushkaji, yeah
ila naishi na wana
hujui tofauti ndomana unasema vingi
wanangu wanaulizana unasеma nini?
niseme mimi mpaka lini?
mpaka mi nif~kiwe chini?
eеh? kama huna chakufanya nanii?
waambie na wenzako wasivuke mipaka
nanake nataka kuonyesha mi kaka
mapema ilala nafungua belo
wachumba kwa simu ni h~llo!
sa usichoke kusaka, mpaka watachoka kupaka
we cheza kama kiraka
tena watatafuta mpaka machaka
uki win ukipata baraka
na ukisha win usisahau sadaka tu
mungu yupo ipo kesho utapata
uswahilini w~nga wengi mapaka
usiku hatulali na mchana tuna kazi tu
hatuoni unafuu
tunamuomba mungu tu
bado hatuna nafuu
bado natazama juu
mbali juu ya mawingu
bado sioni nafuu
bado hatuna nafuu
nafuu
hook:
tunafanya kazi tu
hatuoni unafuu
tunamwomba mungu tu
bado hatuna nafuu
bado natazama juu
mbali juu ya mawingu
bado sioni nafuu
bado hatuna nafuuuuu
nafuu
bado sioni nafuuuu
nafuu
bado hakuna nafuuuuu
nafuu
bado hakuna nafuu
bado hatuna nafuu
bado hakuna nafuuuuu, nafuu
nafuu
nafuu
nafuu


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...