lirik lagu slimsuma - mama
verse
kwanza nakupenda, hili naweka wazi, nimekuweka kwenye moyo, umeijaza nafasi, i know that you love me hilo sina wasi, nakosea unasamehe then you play nice
sijui nikupe nini kufidia mama, maana sioni cha kukupa, vyote havina maana, toka utoto umenilea nimesumbua sana, angekuwa mwingine ile kitambo angeshanipa laana
kila siku namshukuru mungu aliye juu, j~po nipo mbali ila mama i miss you, toka mtoto hadi sasa still i need you, uishi milele mama ndio kitu i wish to
nak~mbuka tabu zote ulizopata mama, sio tabu ndogo nak~mbuka uliteseka sana, ulinipa moyo pale nilipojiona sina maana, hadi kazi mbaya ili nile mama yangu ulifanya
bridge
wewe super woman mama ni wewe. ×4
chorus
malaika nakupenda malaika, mama ni malaika nakupenda malaika. ×2
malaika nakupenda malaika. ×7
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu taibanz - know about it
- lirik lagu blood loss - let the blood flow
- lirik lagu royale da rapper - do dat shi again
- lirik lagu the formula project - white line fever
- lirik lagu simon marks - broken creek
- lirik lagu brent morgan - deserve you
- lirik lagu rainald grebe - in between
- lirik lagu kinda white - downtown
- lirik lagu tom gregory - river
- lirik lagu lil deimos - hesitate