lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu slimsal - empty

Loading...

[verse 1: slimsal]
unanijua unaskia na umeniskia wapi?
uliza kiatu change frank knows nothing
hata kama nna pay i don’t ball like that
siogopi vunja bei, afraid for what?
hata kama nna figures kwenye bank account
sipigi nazo picha caz ain’t for clout
ndo maana instagram niona na count
i mean instagram huwezi niona nna count
caz ndugu zangu wote they be counting on me
tangu baba aondoke baba r.i.p
all eyes on me, 2pac shakur
am not that rich and am not that poor
muziki nilishaacha long time ago
ninachofanya sasa ni muziki and more
caz am after dough, after dough
and after door and after door

[hook: slimsal & fetty sley]
niliondoka empty, nyumbani
na nimekuja mjini fuata, my money
niliondoka empty, nyumbani
na nimekuja mjini fuata, my money
nimeondoka empty empty empty
siwezi rudi empty empty empty
nimendoka empty empty empty
siwezi rudi empty nyumbani, noo..
[verse 2: slimsal]
niliwahi kuwa na beef na marco na daxo
na za chaa na anko zee , elchapo
kipindi ninahaso kwa joachim kimaryo
kama hujanielеwa shauri yako
mtoto wa nyoka nyoka mi ni fimbo ya musa
corporate ka mohamed, talentеd ka lucia
naeza ingia ofisini, nimevaa bandana
nategemea akili sitegemei mshahara
ila kama hauna cha kudiscus
ongelea bugana tunalipa bill nasi
silali tumbo empty hata bila money
naeza afford matembele j~po i miss mandi
muziki nilishaacha long time ago
ninachofanya sasa ni muziki and more
caz am after dough, after dough
and after door and after door

[hook: slimsal & fetty sley]
niliondoka empty, nyumbani
na nimekuja mjini fuata, my money
niliondoka empty, nyumbani
na nimekuja mjini fuata, my money
nimeondoka empty empty empty
siwezi rudi empty empty empty
nimendoka empty empty empty
siwezi rudi empty nyumbani, noo..


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...