lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sir yongo - ujumbe

Loading...

[intro]
yeah (yeah)
yeah (yeah)
yeah (yeah)

yeah
okay, okay
it’s y.k
okay
yeah
it’s sir yongo!
[verse 1]
nimeamka alfajiri
ninawaza ni kipi kimejiri
nafikiri
tuko wawili, ama niko solo, ah
tuko wawili, ama siko doro, na

nimekuwa nikiwaza kwani maisha yako aje, aje, aje, aje, aje, aje
mi’ nimekuwa nikielewa maisha ni hatua
hakuna cha kusumbua
na bado nazuzua
hisia naibua
najua n’tatusua, one day one time
maisha ni matamu
ila chuki ni haram
kutesa ni kwa zamu

binadamu ukishaota, amka utekeleze
muda unasonga, tafadhali ‘sipoteze
usiwe kama mbuzi, ye’ hasikii zeze

[chorus]
ujumbe umefika?
umefika
ujumbe umefika?
umefika
ujumbe umefika?
umefika
na kama umefika basi stand up, stand up
ujumbe umefika?
umefika
ujumbe umefika?
umefika
ujumbe umefika?
umefika
na kama umefika basi wake up, wake up

[verse 2]
okay, okay
i am a teacher
i am a singer too, i am a rapper
no limit
no limit
ninafanya lile ninahisi, kuwa ni sawa
hata ukinidisi, sitopagawa
mi’ niko sawa
jua ya kwamba, mwalimu na msanii ni kioo cha jamii

[bridge]
okay, okay
you will understand as days go by
usijali, usi~worry
sima na chai, it’s okay
utafurahi, na unachopata
[chorus]
ujumbe umefika?
umefika
ujumbe umefika?
umefika
ujumbe umefika?
umefika
na kama umefika basi stand up, stand up

ujumbe umefika?
umefika
ujumbe umefika?
umefika
ujumbe umefika?
umefika
na kama umefika basi wake up, wake up

[bridge]
okay, okay
you will understand as days go by
usijali, usi~worry
sima na chai, it’s okay
‘tafurahi, na unachopata, one day

[outro]
huu ni ujumbe
uwafikie kwa heshima na taadhima
wote wanaojituma
na watambue
siku hazifanani wajue
leo ni ulitima ila
kesho yako iwe ya tumaini daima


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...