lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sir yongo - nia

Loading...

it’s sir yongo!

[verse 1]
so lemme write a song, for the love of my soul (my soul)
nampenda sio siri, kuna mengi yamejiri
ameninasa corazon, niko juu horizon (napepea)
ananihibu amekiri, huyu mrembo ni hatari

so lemme take a spear, i defend my dear (my dear, my dear, my dear)
hata wakitubania, kila kona twaingia
mpenzi aminia, ako poa mara mia (mia)
dawa yangu mjarabu wenye gere wataumia, watajifia
[chorus]
sitobadili yangu nia
kwako ninajivunia
nyonda w~ngu maridhia
kila siku nitakupenda dear

sitobadili yangu nia
kwako ninajivunia
nyonda w~ngu maridhia
kila siku nitakupenda dear

[verse 2]
mrembo kama wewe ndiwe unanifaham (unanifaham)
unajua nachopenda, unajua zangu ham
everyday in the morning you wake me with your kisses (kisses)
we don’t care about them, we don’t fear their disses

so tell me what you like, movie, music or a hike (or a hike)
or i take you to carlitos, do you wanna drink (jacaranda!)

[chorus]
sitobadili yangu nia
kwako ninajivunia
nyonda w~ngu maridhia
kila siku nitakupenda dear
sitobadili yangu nia
kwako ninajivunia
nyonda w~ngu maridhia
kila siku nitakupenda dear

[verse 3]
i’m in love with you
baby, i’m in love with you
najivunia, you, you
i’m in love with you
baby, i’m in love with you
najivunia, yangu nia
to be with you
to be with you, you

[chorus]
sitobadili yangu nia (sitobadili yangu nia)
kwako ninajivunia (najivunia)
nyonda w~ngu maridhia (oooh)
kila siku nitakupenda dear (nitakupenda sana)

sitobadili yangu nia (hi baby, i love you)
kwako ninajivunia (najivunia)
nyonda w~ngu maridhia (maridhia)
kila siku nitakupenda dear (nitakupe, nitakupenda)
[outro]
wee jahvy!
mwambie shemeji yako mi nampenda sana baana
bonny! kamaa!
mwambieni shemeji yenu mi nampenda

swadakta!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...