lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sir.mbezi - hiyo siku

Loading...

song;hiyo siku
artist:sir mbezi ft. rungu la yesu

intro…
alright,alright..sir.mbezi junior,niko na rungu la yesu hapa,ze god’z chosen rapperz,we go by the name of jesus,(sir.mbezi) i go by the name of jesus(lets gooo)i go by the naame of jesus…
chorus,by rungu la yesu
hiyo siku,yesu atakuja kuwahuk-mu wabaya
hiyo siku watenda dhambi wote wataona haya
hiyo siku,wachawi na waganga pia mtagwaya gwaya mnaopinga injili mtakutana tu na fire aah mtakutana tu na fire..x2
verse 1 by sir.mbezi
sipati picha hiyo siku ya kila mtu kusimama,mbele ya kristo yesu kujibu mema na lawama,tutasimama mmoja mmoja sio familia baba na mama
huk-mu ya haki sio ya upendeleo wa sura,matendo yako ya duniani yatatoa yako taswira,ilipo hazina yako ndipo utakapokwepo moyo wako,ndugu yangu chunga sana rekebisha tabia yako,uliye na njia mbili ni wakati wa kuamua,na usie jielewa ni wakati wa kujing’amua,kristo yesu akirudi ni wapi utakapokuwa,maana ni kama mwivi hakuna wakati anaejua,moyo w-ngu una fadhaika,kwa wale watenda maovu wanaompinga kristo yesu na kuukata wokovu,w-nga na wachawi wanaowaloga watu na waganga wa kienyeji wanaodanganya watu,hofu yangu kwa mabinti wanaotoa mimba na wale kina baba wenye mioyo kama ya simba,ambao usaliti wamefanya kama kasumba,wanatembea na vibinti,halafu wanakana mimba,,halafu wanakana ,mimba…..
repeat chorus…
verse 2 by sir.mbezi jr
itakua ni mshangao mambo yasiyotarajiwa,walijiita wema watakapokataliwa,ambao kwa fahamu zetu tuliwaita wabarikiwa,k-mbe wapotoshaji tena wamelaaaniwa,injili wanahubiri k-mbe kwa matakwa yao,torati wameitoa wameweka sheria zao,nia sio kubadili watu ila kujaza matumbo yao,siku hiyo hutaulizwa eti ni mtoto wa nani au eti ulikua waziri mkubwa fulani,ama majumba mangapi ulikua nayo duniani,mnaotenda dhambi gizani msidhani ndo mtapona,k-mbuka siku hiyo kila kitu kitaonekana,matendo ya kila mtu yatakapowekwa bayana,yani wazi wazi wazi huwezi hata kukana,bila kuwasahau wezi vibaka na waporaji,msidhani mtaepuka enyi wasengenyaji,huk-mu yetu hata nyie wabakaji,mbinguni huwezi ingia kama yesu hujamkiri sasa rafiki yangu ni kipi unachosubiri?
chorus repeatead by rungu la yesu
itakua ni huzuni kwa dada zangu machangudoa,wale mume na mke wasiotulia ndani ya ndoa,hata wale vijana mnaozini kama ya kuoa,wenye ndoa za jinsia moja mbinguni hamtaingia,hata nyie mafisadi mnaotaka kila kitu,kwa sababu ya pesa mmeondoa thamani ya utu,vyote mnavutia ikibidi hata kwa mtutu,wengine eti magogo nyie peke yenu ndo watu,mnajiita watakatifu eti mbinguni tukaonane,wakati mnatapeli yatma na kudhulumu wajane,mmesahau dini safi huk-mbuka yatima na wajane,mnajipenda tu wenyewe na kutojali wengine,hata nyie waongo mbinguni hamtaingia,wala nyie wambea kazi yenu kuvunja ndoa,wengi wamegombana maisha yao mmetia doa,wote bila kutubu mbinguni hamtaingia,k-mbuka siku hiyo hakutakuwa na msamaha,sababu kama dhambi yesu tayari alizifia sasa mkubali leo huk-mu yake utaikimbia,,
repeat chorus..
bridge by rungu la yesu
hiyo sku itakua ni lini?(sijui)
hiyo siku itakuwa juma ngapi?(itatisha)
hiyo sku itakuwa mwezi gaani(walokole ni furaha)..mimi sijui..itakua jumapili?mimi sijui..itakua jumatatu sir.mbezi hajuiii..itakua alhamisi nakwambia ki ukweli me cjuii..jiweke tayari utambue hizi nyakati..utambue hizi nyakati(jiwekee tayari)…
by mbezi
ha ha ha ki ukweli hata mimi sijui itakua lini..cha msingi tuwe tayari wakati wote…aloyce mbezi the sir.mbezi junior,rungu la yesu,eka injili we are signing out bye!!!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...