lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sijafunzwa - yammi

Loading...

[verse 1 : yammi]
unaweza ukaniona nacheka
ila moyo w~ngu umeficha mengi
maisha yamejawa na heka heka
kila hatua moja ni kigingi
kuna vitu vingine vinaumiza
kula yangu ni ya kudunduliza
kuna muda nahisi kukata tamaa
ila nak~mbuka mama ananitazamaaa

[verse 2 : yammi]
zagala zagala, langu buku linatosha
pilau la masimango, sio siri linachosha
zagala zagala, langu buku linatosha
pilau la masimango, sio siri linachosha

[chorus : yammi]
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba

[verse 3 : mdogo sajent]
ona maisha, maisha magumu
nikik~mbuka mbali nilipotoka
mengi nyumbani, nyumbani majuk~mu
ndo yalofanya shule nikaiacha
namshukuru sana mungu
aaah aaaah, w~ngu mungu
j~po mtaani kuna majungu
aaah aaaah, mengi majungu
wabaya walimwengu
wenye chuki na mie
ambao hawataki niendelee
langu zuri kwenu baya waja nyie
na sijui kwanini hawataki niendelee
[chorus : yammi]
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba
kukata tamaa sijafunzwa
nami namuomba muumba


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...