lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu shihembetsa - ni kubad ft krwr

Loading...

intro (shihembetsa)
twende
unadanganya
unadanganya (aih)

yeah skiza… shihembetsa

v1
unadanganya msupa unakulwa na machupa
unarudi mtaani unagwarwa na makucha
clande ameland so ni kula tu kwa pupa
nikuvunja na kuroga hadi rada anatupa
i’m a man of the people don’t you treat me like we equals
acting like you kingpins but really you just sheeple
following the crowd trying to fit into the peep hole
got the keys to the castle why you flocking at the keyhole

hook
ni kubad
si ni kufyam
si ni wabaya
si ni wafyam
ati
ni kubad
si ni kufyam
si ni kubaya
si ni wafyam
v2
vichwa vina dredi lakini maarifa zero
unadai we ni legend lakini hits zero
ujinga ni ugonjwa hautibwi na hamnazo
mapenzi ni muhimu lakini sare vikwazo
vibes ni za rich kids hapa ni k~medi
naangusha hits utadhani mi ni pedi
naangusha tracks na kupyuum kaa thegi
roots ni eastlando but kilami kaa ya coolkid
blinky shirt on so they never see me coming
mehn it’s all about the money coz the bills need paying
i’m gunning for the top but it doesn’t need saying
mungu halali but the work needs praying
imani na matendo is the motto catch the memo
it’s funny how people change
when you finally making change
your pockets are getting fuller
and your circles starting to break
your get your sh~t together
now they wanna stir the pot (wueh)

hook
ni kubad
si ni kufyam
si ni wabaya
si ni wafyam
ati
ni kubad
ni kufyam
si ni kubaya
si ni wafyam
(eih eih)
refrain
cheza na dem x2(aeh)
cheza na dem x2(weh)

cheka na dem x2 (ah)
cheka na dem x2 (shika)

cheza na dem x2 (wueh)
cheza na dem x2 (aih)
cheka na dem x4

hook
ni kubad
si ni kufyam
si ni wabaya
si ni wafyam
ati
ni kubad
ni kufyam
si ni kubaya
si ni wafyam

outro (krwr)
mapanga na na na
mashada ya ya ya
mapanga na na na
mashada ya
mapanga na na na
mashada ya ya ya
mapanga na na na
mashada ya

mapanga na na na
mashada ya ya ya
mapanga na na na
mashada ya

get it (x5)
tumeshonde kwa hii beat


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...