lirik lagu shetta - uswahilini
fatality music
wooosh
shetta shetta shetta
amini kwamba mzee wa bwax hapa mtoto wa nje ya ndoa
yo baba qayla (mesen selekta)
we jamani uswahilini uswahilini uswahilini ndo balaa
wameoa wameolewa lakini w-n-lala bar
we jamani uswahilini uswahilini uswahilini sio poa
we ndani mtoto wa shekhe na nje ndo changudoa
we cheza kama umelewa (mama) we kama umetinga
we cheza kama umelewa (humo humo) we kama umetinga (baba qayla)
we cheza kama umelewa (mama) kama umetinga
we cheza kama umelewa (ayi) we kama umetinga
eyo uswa uswa uswa uswa uswa uswahilini
ugomvi chumbani burudani kwa jirani
we chokochoko uani pia na vibarazani
fitina vijembe hadija kopa haoni ndani
ila queens wapo huku usiseme kaja na nani
kitano kikifika bora ujipinde na taxi
nagwa kituoni kwa fix wanangoja basi
zana za kikazi zimefichwa kwenye nyasi
siku hizi haukabwi roba unapigwa tu upper cut
ah, kina siwema makauzu mpaka basi
mi mwenyewe nawakubali wanavyoipiga mitikasi
vimini kama beach kuvaa chupi hawataki
vengine fata mkeo kwao jicho la samaki
guest kila night kama bure zipo nyomi
zima taa usiwe live wazee wa chabo wapo on
utadhani wame-pay dirishani na mlangoni
ukiwagumia utasikia usilete za kibabiloni
we jamani uswahilini uswahilini uswahilini ndo balaa
wameoa wameolewa lakini w-n-lala bar
we jamani uswahilini uswahilini uswahilini sio poa
we ndani mtoto wa shekhe na nje ndo changudoa
we cheza kama umelewa (mama) we kama umetinga
we cheza kama umelewa (humo humo) we kama umetinga
we cheza kama umelewa (mama) kama umetinga
we cheza kama umelewa (ayi) we kama umetinga
maisha ya uswazi mi ndo nimezaliwa
ugali unga robo samaki wa kulumagia
aah uswahilini yani full laana mtu anapigwa ngeta mchana kinomanoma
aah uswahilini ndo maisha yetu hatuna whatsapp yani wala facebook
familia kubwa tunashindia buku
cheza na mida utakuta patupu
uswazi
uswazi
huku kwetu maji ya kunywa tunauziwa kondomu tunapewa bure
uswazi
uswazi
huku kwetu maji ya kunywa tunauziwa kondomu tunapewa bure
we jamani uswahilini uswahilini uswahilini ndo balaa
wameoa wameolewa lakini w-n-lala bar
we jamani uswahilini uswahilini uswahilini sio poa
we ndani mtoto wa shekhe na nje ndo changudoa
we cheza kama umelewa (mama) we kama umetinga
we cheza kama umelewa (humo humo) we kama umetinga
we cheza kama umelewa (mama) kama umetinga
we cheza kama umelewa (ayi) we kama umetinga
mesen utawaua
ohooooooo chuma kwa chuma cheche
aaah baba qayla ugoko wa mende biskuti ya chuma
hii hapa hii kataa tuone
chapaa
nikienda naenda nao (hao hao hao)
nikirudi narudi nao (mama)
nikienda naenda nao (hao hao hao hao)
nikirudi narudi nao (humo humo humo humo)
aya mbele mbele mbele mbele mbele mbele (jamani)
nyuma nyuma nyuma nyuma nyuma nyuma
aya twende mia mbili mia mbili mia mbili hiyo
mia mbili ipo chini mia mbili hiyo
mia mbili mia mbili mia mbili hiyo
mia mbili ipo chini mia mbili
aya twende tunainama iokote
tunainuka we iokote
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu nøtinvain - like i should
- lirik lagu roxas darius - d-day
- lirik lagu wild wes - discoveries
- lirik lagu flatsound - 47 fights pt 2
- lirik lagu postbox - friday girl
- lirik lagu tymek - romans
- lirik lagu plc - это юг
- lirik lagu vinxen - 선의의 거짓말
- lirik lagu el rojo - the longest ride
- lirik lagu би-2 - серебро (acoustic version)