lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu shetta - namjua

Loading...

[intro]
namjua, (okay) namjua
namjua, (okay) namjua
namjua, namjua
namjua, namjua

[verse 1]
kuwa nae paradiso, mie nae uhai kwa kifo
kama babu na kiko, niko nae toka nausa sisal
akitembea lawama (namjua) eh, okay
huko nyuma danadana (namjua)
[pre-hook]
iwe kokwa, iwe ganda
akinipa najilamba
anavyolicheza vanga
timbwili kwenye kitanda
alele lelele
alele lelele

[hook]
mwenye ki-shape kidogo (namjua, namjua)
mwendo wake wa mikogo (namjua, namjua)
sura kama mtoto mdogo (namjua)
eh (namjua)
utamu wa embe dodo (namjua, namjua)
[bridge]
shusha nchungulie (adeedeede, eh, adeedeede)
nionee kwa mbali (adeedeede, eh, adeedeede)
j-po nshikilie (adeedeede, eh, adeedeede)
chungu au asali (adeedeede, okay, adeedeede)

[verse 2]
leo pochi imenona
mi nataka kutoka
vaa top ya kushona
nigonge suti na moka
tena ukiwaona
usije ukashoboka
tuwafungie na kona
maana marafiki nyoka
[pre-hook]
iwe kokwa, iwe ganda
akinipa najilamba
anavyolicheza vanga
timbwili kwenye kitanda
alele lelele
alele lelele

[hook]
mwenye ki-shape kidogo (namjua, namjua)
mwendo wake wa mikogo (namjua, namjua)
sura kama mtoto mdogo (namjua)
eh (namjua)
utamu wa embe dodo (namjua, namjua)
[bridge]
shusha nchungulie (adeedeede, eh, adeedeede)
nionee kwa mbali (adeedeede, eh, adeedeede)
j-po nshikilie (adeedeede, eh, adeedeede)
chungu au asali (adeedeede, okay, adeedeede)
[outro]
ale shusha nchungulie (adeedeede, eh, adeedeede)
nionee kwa mbali (adeedeede, eh, adeedeede)
j-po nshikilie (adeedeede, eh, adeedeede)
chungu au asali (adeedeede, okay, adeedeede)

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...