lirik lagu shark d - bls
intro
jejejea
nachoamini kuna watu wanasema nafanya dix
lakini siyo kweli mimi sifanyi dix
this is not a dix
i’m here to find a peace
verse
baba wa mbinguni nipo mbele zako
baba wa mbinguni ninakiri mbele zako
dhambi nimetenda hakuna asiyetenda
niw~ngapi wametenda mbona baba wananitenda
wengi wana enjoy wana kula chips kavu
wengine wana enjoy wanakunywa juice ya dafu
wao na vitambi wanachanga rambirambi
wao na vitambi wana shehena za bangi
siasa ni kama movie bongo ni makusudi
hakuna wapinzani wote wamepigwa gundi
sanaa bila udi utapigwa na myahudi
na kuna team zinajengwa, zinajengwa bila fundi
baraza limejaa rushwa basata mnakwama wapi
michingo ina kwama sanaa ina fail wapi
acheni kulala lala amkeni mpige sala
acheni huo u~~ punguzeni mijadala
outro
baraza la sanaa sijui mnakwama wapi
michingo haiеndi wasanii hatupati haki
wasanii studio tuna hustle
na mtaani bado tunamwaga jasho
mmmmvvvu
the call shark d, geita city id
thе baddest k!ller, over
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu grk dori - gucci ringz
- lirik lagu los nota lokos - sexy solteras
- lirik lagu bill callahan & bonnie "prince" billy - miracles
- lirik lagu j sanc - stardust.
- lirik lagu home counties - modern yuppies
- lirik lagu lil lol - prologo
- lirik lagu pollio - sospesa
- lirik lagu джизус (dzhizus) - вождь (the leader)
- lirik lagu rafinha lindu - couch song - intro
- lirik lagu jorma kaukonen - sweet hawaiian sunshine