lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu shad mziki - mema

Loading...

i hope uko salama
mi niko easy
i hope sio gharama

kukujulia hali
unatesa mitandaoni
rocking versace
with all of your friends
and all of your gang
i hope sijakosea timing
nikuambie one thing
nakutakia mema
mema
maisha ya neema
tutaonana tena
nakutakia mema
mema
maisha ya neema
tutaonana tena
yes nimepotea
siku nyingi
i know nilikosea
kukuumiza hivo
and i wish i never ever left
i wish i never ever ghosted you
najua i will never get
mmoja mwenye ako so d~mn true
and i can’t let myself forget
vile ulinipenda
ulinipenda
nakutakia mema
mema
maisha ya neema
tutaonana tena
nakutakia mema
mema
maisha ya neema
tutaonana tena


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...