lirik lagu sewersydaa mkadinali - riswa 2
[hook: sewersydaa]
come on man move (move)
don’t play with the gun
kama hautaki kushoot
bado na cruise natoa mission impossible
ukidai kunisue
na sidai hio ikus no no, bro aliniambia last
time aliduff
mbele hakuna kitu naona me na my goons
tutago back to our roots
ingisha dem akuite mrong nimwage adi logics
nirecord akihit hio mraa na hio scene ni
erotic
ingisha dem akuite mrong nimwage adi logics
nirecord akihit hio mraa na hio scene ni erotic
[verse 1: sewersydaa]
nilislide bila maganda sema kuwa tamu
mpaka ikakwama (slide, slide, slide)
karibu next time alikam na beshte yake na
ikakuwa swara
si maringo ni ego nilimshow tu venye anakaa
tu, siwezi nikammanga
heri nikuwe single badala ya kuishi na drama
visanga
trauma tangu childhood macops walikam
wakaspray ndani ya hood
insomnia tangu highschool jiulize mbona mi
hudoz kwa stool
mi and my crew chenye si hurap ndo chenye si
hudu
so tukiw~nga juu usituangushe unatuharibia
moods
hautaki kuona boy akikuwa rude, watu w~ngu
wa panga dagger
walimadiwa murder ndo mtaa tu
icool
utaingizwa njeve na njege finywa makende
hadi uone blue
usiguze ndege mbesh chege ka hutaki
kwenda jela kuchew
sai tumesota na kocha
alituonyesha tutaomoka na soccer
arif alitoboka poker dollar zilisonga akaekelea boma
ndonda amegeuka donga aliingiza mat ka
tatu kwa route
ubaya sa amesota naskia siku hizi ye
hukuw~nga mbachu mabooze
[hook: sewersydaa & dyana cods]
come on man move (move)
don’t play with the gun
kama hautaki kushoot
bado na cruise natoa mission impossible
ukidai kunisue
na sidai hio ikus no no, bro aliniambia last
time aliduff
mbele hakuna kitu naona me na my goons
tutago back to our roots
ingisha dem akuite mrong nimwage adi logics
nirecord akihit hio mraa na hio scene ni
erotic
ingisha dem akuite mrong nimwage adi logics
nirecord akihit hio mraa na hio scene ni erotic
[verse 2: dyana cods]
last scenario nilimpea hio ikus ndani ya
casket this time nampea kwa chuom
last scene nilimroria ndogo ndogo ka kim
alimwaga ka cream ndani ya dream
gal a driller ingo contrabands ka driller ikus
unadrill ka umekimya
man a driller mi humge back to back ka blank
backshot
unataka kuna barca pakistan
ati bro anadai aliduff mshow the only thing
aliduffia ni mute
ati bro anadai aliduff na deep down anajua
hataipata hio juice
mans like cods no no nataka uniite kim jong
cods
shogre shogre nampea tu mastrokes deep
throat nikihit hizo notes
anadai kitu sic,anadai nimkanyage na stilettos kwa shtick
niflip hio script nicreep hio d~ck umwage hadi
nianze kukuwa mthick
anasema she’s [?] first shot alibaki amesnooze
morio infact hio ikus inafeel so hood ilibaki
amenijengea statue
nataka kitu refu full length ka pillar yenye
inafanya niloose sense ka silver
kitu ndechu full width ni ka thriller
body count inapita ya hitler
mi hudoz juu ya mti ka panda rong girl~ ju ya
slander
mi huteveva hio shtick kwa tip namwacha
apeep nikidishi hio miti
[hook: sewersydaa & dyana cods]
come on man move (move)
don’t play with the gun
kama hautaki kushoot
bado na cruise natoa mission impossible
ukidai kunisue
na sidai hio ikus no no, bro aliniambia last
time aliduff
mbele hakuna kitu naona me na my goons
tutago back to our roots
ingisha dem akuite mrong nimwage adi logics
nirecord akihit hio mraa na hio scene ni
erotic
ingisha dem akuite mrong nimwage adi logics
nirecord akihit hio mraa na hio scene ni erotic
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu welyn - hot cappucino (last cup of coffee cover)
- lirik lagu between oceans - fade
- lirik lagu big sick (uk) - rock with it
- lirik lagu tomo nakayama - shadows
- lirik lagu fly by midnight - borrow your time
- lirik lagu arjun kanungo - dil kisi se - arjun kanungo mp3 song
- lirik lagu lưu kim đét - không hẳn là một bản tình ca
- lirik lagu grupo karicia - nada que ver
- lirik lagu george lovett - ruby
- lirik lagu a summer better than yours - dig and dig