lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sewersydaa mkadinali - goodmorning africa

Loading...

[intro: ajay]
yo, skia
kwani ni kesho?
skia
kwani ni kesho?
yo (africa, africa)
skia!

[chorus: ajay]
ndio nitoe stress kila morning jo
nikiamka naakisha goodmorning afrika (psss)
niliamka kabla ya jogoo haijawika (aii)
kwa ground tumeficha ju mziki inajipa
siku hizi luku ni driba
mafans na mapicha (picha)
rapper umerank ananicall anadai feature (aii)
ndio nitoe stress kila morning jo
nikiamka naakisha goodmorning afrika
niliamka kabla ya jogoo haijawika (yo)
kwa ground tumeficha ju mziki inajipa (jipa)
siku hizi luku ni driba
mafans na mapicha (yoh)
hadi rapper umerank ananicall anadai feature

[verse 1: ajay]
kila youth siku hizi andai keja na dinga
na dem hawezi dinywa dinywa
nimeanza kuball wanani~rate na mariga
na ndugu wa thiong’o akadai naringa
kadaily nashine kama bling
this time nimekam na sling
but nambling akidai smoke
huku joh tunawasha maspliff
mi hupiga mask so n0body sees me
sipendi usoro, sitafuti kiki
niko kwa trap bando always busy
beat ni ya africa, you know we drilling
nita~buy beamer, i’m black~man~winning
ukinicross siwezi go free with it
ndio uvute line niko high ka~ceiling
bei ni expensive kama dollars to shillings

wanacompare drill na zile ngoma flani
si hukula gwethe we hukula majani
na mabro hawezi niwacha rahani
hawawezi badilika ju ganji na manzi
wanacompare drill na zile ngoma flani
si hukula gwethe we hukula majani
na mabro hawezi niwacha rahani
hawawezi badilika ju ganji na manzi

[verse 2:sewersydaa]
4:20 am, nilidungiwa na glen
akaniambia mali imefika
wake up, wake up, nastrech mkono nikitafuta kapienga
naweka beat ya afrika kuonyesha hawa madriller venye ni wa~les ka wanyika
tepwa, tekwa, uncle trench anaweza fanya ulale kwa sewer (yoh)

eastleigh ukikam vibaya joh utaingiwa tisa
si belive gava ina~murder mayouths na ndio future
hatuskii haya so opportunity ikikam tunai~grab kwa makucha
adidja palmer amefanya mayouth gaza wanajiona ma~teacher
dungwa tenje (ah)
si tulikuonya joh toka tene
tunakuachia tent bigi sana kuliko ule mresh wako wa vet (alaa)
mdaila anataka kuongeza rent, naona mimi na maboys tutaenda kucamp kwa tent (exactly)
tunaset kuset after all si unajua there’s nothing at stake

lines chafu kama player wa nba
zinafanya hadi madriller watoke kwa realm
man~a~driller, sikukam games
in fact ukiniona try ku~behave (try, try)
ma dealer si huniachia sensei
nikifika hali hukuwa quest
namba nane kama sense~8
eeh mpaka eastlands wanani~rate (ah)

[chorus: ajay]
ndio nitoe stress kila morning jo
nikiamka naakisha goodmorning afrika (psss)
niliamka kabla ya jogoo haijawika (aii)
kwa ground tumeficha ju mziki inajipa
siku hizi luku ni driba
mafans na mapicha (picha)
rapper umerank ananicall anadai feature (aii)
ndio nitoe stress kila morning jo
nikiamka naakisha goodmorning afrika
niliamka kabla ya jogoo haijawika (yo)
kwa ground tumeficha ju mziki inajipa (jipa)
siku hizi luku ni driba
mafans na mapicha (yoh)
hadi rapper umerank ananicall anadai feature


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...