lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sele minamba - usilie

Loading...

[intro]
magic sound
ebu kwanza subiri
ngoja!
twende naooo
selemeni minoo
muno on the track

[verse 1]
2pac katengwa kaacha uzuni
chuga nae kwa tinga kaacha uzuni
akisto nae tangini kaacha uzuni
lafeko ameacha kona mbaya na sheraton
kaka chengo na mabinti wameacha uzuni
zimebaki picha na sobona mtandaoni

inavyosemekana wale wameenda kwa mola
wameenda kwa mungu baba
wale wameenda kwa mola aaaah
nishaimba nyimbo za kifo tatu
kuwaelimisha watu waache utukutu
mara uyu kaiba kuku huyu kachomwa visu
huyu kaiba anajisifu

bongo uchawi marupurupu
kamera macho ya watu
tunauwana kisa buku tu
ishinde imani usithubutu
kisa kasukua mabutu
ana simu ya laki tatu
siku ukipigwa mchiriku
milio ya kasuku
kwenu utajaza watu
[pre~chorus]
vilio (vilioo) wanakulilia mwana
(wanakulilia mwana)
kilio (kilioo)
anakulilia mama
(anakulilia mamaa)

[chorus]
mama nyamaza usilie (usilie)
dada nyamaza usilie (usilie)
we shangazi nyamaza usilie
kaka dada usilie

[verse 2]
wale woote ni watafutaji
ata ukilia chozi halizidi maji
haina maana kuwa wale watarudi
ona wahuni kila wakifosi mambo bado
ukiiba unakamatwa unapewa kisago
kama siku ukiponyeka kameze panado

mimi siendi misele
sela bado nipogo
naridhika na nachopata changu kidogo
muonge yule nae mtukutu umri mdogo
ogopa sana siku raia akipiga vifijo
kama mwizi usivar twende nao
utachafua logo
si tushawapoteza masela
kuna wanetu wanaozea jela
sisi tushawapoteza wahuni
wengine hatuwaoni wamefichwa kapuni

mama mzaa chema kadema
mwanaharakati wa chadema
kamuacha mama anahema
baba hata presha hana
anamwambia ulichekelea kipindi namkanya mwana

aache wizi
huyu kaacha mtoto
jana kachomwa moto
ukiuliza kisa kafa
kisa kaiba sio

nalia kama mtoto
bongo changamoto
bongo vijana wengi wanakufa na ndoto
naotaga kwenye ndoto namiliki mkoko
nikija kuamka nakuta naota moto
majuto

ona mwenzako mimi
mimi sikatizagi pori lile
pori lile linanyoka wenye sumu kali
mwenzako mimi namuogopa bwana shamba yule
bwana shamba panga lake kalinoa kishari
~n~linda mazao yake
aitunze familia yake
alishe watoto pamoja na mke wake
siku ukisikia kaibiwa na nduguye nyamaza
[chorus]
usilie
dada nyamaza usilie (nyamaza)
usilie
we shangazi nyamaza usilie (nyamaza)
kaka dada usilie


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...