lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sele minamba - underground

Loading...

magic sound

ebu kwanza subiri ngoja twende nao
naitwa selemani minoo

beat kapiga phant j

munno the k!ller

oooohoo mi bado nipo underground
mimi, underground
mi bado nipo nipo underground
bado sijamaliza round

sa sijui uchawi mbuni naonekana muhuni
naachia magoma mengi huko mtandaoni
wana view wanaruka wanafanya awaoni
nikianguka nainuka najikaza kisabuni
nisije kuk~mbuka shuka imeshakua jioni
maana mimi nina ndoto iman itatimia soon

ila mi mtanza mwenye nia
napigania nachopambania
naamini kila mwenye nia
kila mwenye ndoto akiota itatimia
ila mi mtanza mwenye nia
napigania nachopambania
naamini kila mwenye nia
kila mwenye ndoto akiota itatimia

kuna muda naji mix na matozzy na wahuni
nisije nikakosa ata pata dusko la sabuni
kuna nachukia kushindanishwa
na wa chini nishindanishe na wa juu tumuone
mwamba nani
kuna muda naumia ngoma azipigwi redioni
nikituma wanasikiliza wan~z~ficha kapuni tu

awataki mi nipande pande juu
wanataka kuniona nipo hapa hapa tu
awataki nimiliki gari bei juu wanapenda
kuniona rod naiburuza miguu guuh

bado napiga ngondi na ngoko
bado n~z~pitia changamoto
ila naamini changamoto
changamoto zipo ata wakati uliopo

mi bado nipo kwenye muinuko
bado napandisha sipo kwenye mtelemko
mi sio mr nipo kama sipo nimekosa jana
leo nasubili kesho
mi naenda nao mpaka mwisho wa mwaka
kama nipo hi nijue nani amekufa sasa ivi
nataka kujua kama nime fail mimi
nani vigezo atavi kizi

oooohoo mi bado nipo underground
mimi underground
mi bado nipo nipo underground
bado sijamaliza round


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...