
lirik lagu sele minamba - true love
[verse 1]
kama nikitaka mapenzi nimkimbize
kwani mie kuku
akinuna nimbembeleze
na siku akinyuka pamba apendeze
ndio naogapa matozzy wasimtongoze
na siku nikibumbwa asijiongeze
wasimfanya zeze wamkamate wa mpulize
siku akizila nimliwaze kisha anijifu ghetto aina kamtangaze
[chorus]
na kama ghetto godolo lipo
mashuka yapo na feni upepo
na kama siku akileta utoto vikopo vipo
akipata ujauzito mzani upo
[verse 2]
mimi kwake sisogei siongei spotei kwengine sitokei
mimi siwezi kuipanda iyo bei osterbay sitokei
mimi nipo uswazi long na kwake sina say
anificha kama stim kwenye ziggy
ananistili koti wakati wa balidi
ukiona ground watu wengi kuna league
ukiona shoya ujue stim zili nizidi
[chorus]
tulivyo salе sale mauwa yani pika pakua
ndo zile fua kamua mapema kabla ya jua
[verse 3]
kila mwеnye moyo kupenda anajua
maumivu ndo yanasumbua
chako ulicho kihifadhi
anae jua akikichukua
anajua mwanao munaishi good
na mpenzi wako anamuita shemeji
ila hisia za mwili zikimzidi
ndo ananza kujitumisha meseji
[bridge]
kikulacho ki nguoni
kiponzacho ni mboni
kifatachi ni ugoni
ukikamatwa ni uwani
nikuingiwa maungoni
nikupost mtandaoni
na story za asani
[verse 4]
selemani nikitoka kazini
nikirudi nyumbani
nina w~ngu mwandani
akitoka gengeni
akirudi jikoni
akipika ni ndani
kifuatachi ni minyesho
na mikesho na mikito mpaka kesho
[chorus]
mimi nayeye ni official kwenye social
na tunaishi kwenye ndoto
j~po tunaishi kwenye msoto
tunajua changamoto
tunaisubili kesho
[verse 5]
ashawai kuuliza kuhusu mziki
nikakwambia nitatoboa
nikitoboa mimi naye soon
tutafunga ndoa
ya ujana nayo yanaboa
anachunga asije akaniboa
kama siku akiniboa
so kawaida nachulia poa
[bridge]
sina msongo wa mawazio
siendi songo mbingo
naupa kazin mwili
ufanye kazi ubongo
[verse 6]
yeye kw~ngu ni kama mmea
ulie taka kujongea nikaung`oa
na majani yake yakanywea
nikaupanda sehem nyengine
nikaukuza nikaendelea kuumwagilia
[outro]
nacho maanisha true love
nacho kuimbia true love
ulicho kisikia true love
na huu wimbo ni true love
true
true love
true
true love
true
true love
true
true love
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu tourneforte - recall
- lirik lagu last past. - your dimension
- lirik lagu ryo okumoto - chrysalis
- lirik lagu ege boran - anlardınᐸ\3
- lirik lagu malefice13mafia - asmr baston (go to sleep)
- lirik lagu faux detox - destiny calling
- lirik lagu deaf club (ca) - for a good time, call someone else
- lirik lagu kady raii & gibby - mia khalifa
- lirik lagu shame - to and fro
- lirik lagu bonde do forró - amor de carnaval