lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sele minamba - nguvu ya mtu mtaji

Loading...

#intro
magic sound
na mtu kwao akikwambia pale ndo kule
ebu kwanza subili ngoja twende nao
naitwa selemani minoo
leo sina mengi mno
munno the k!ller

#chorus
si unajua nguvu ya mtu mtaji
siunajua napambana na force sio ili mradi
si unajua mumeo mi mtafutaji
si unajua nikipata nakuleteaga zawadi
si unajua wanapenda kunijaji
usije ukapiga mbizi ukazama kwenye maji ukaibukia mbali

#verse
usije ukanitelekeza mumeo
usije ukafanya nikaamini maneno yao
usije kuyapenda maisha ya video
usije ku loose mana tayari nishakupa vyeo
usiende kucheza mana miziki yao vimeo
wazalamo wakanituliza kwa msemo
wa kalaga bao

#verse
ngoja nikupe moja mbili tatu
usiwasikilize watu mana watu wengine
roho zao zina kutu ukiwaona kama watu
ukiwepo wanakusifu mana mbaya usoni umjui katu
#verse
daima mbele kurudi nyuma mwiko
usije ukapingana na vya kwenye maandiko
wanaona gele ukinipikia madiko diko
ila kwetu sherehee na wakati uliopo
naweka mabano maesabu magazijuto
sitaki malumbano naogopa
isijekua majuto

#verse
isijekua misuko suko nna mpenzi ghetto
nikalale kwa mlupo
nawewe usije act vichekesho
ukaleta vituko kesho nikai miss minyesho

#verse
ukicheka
kama mwanafunzi wa chekechea
na mimi nikinuna
kama nimekula mmea
wambie lina mbunge
ili jimbo wagombe
wambie sina mapepe
mi nipo takecare

#verse
mi nipo takecare sina mapepe
mapenzi nacheza fair tu
mi nipo ata wakiongea
mi nipo na n~z~di kusogea tu
nna kipaji ila sio mjuaji
ila nachokijua nguvu ya mtu mtaji
#chorus
si unajua nguvu ya mtu mtaji
siunajua napambana na force sio ili mradi
si unajua mumeo mi mtafutaji
si unajua nikipata nakuleteaga zawadi
si unajua wanapenda kunijaji
usije ukapiga mbizi ukazama kwenye maji ukaibukia mbali
#verse
kuni zikiwaka ni majivu
mi kachumba kangu kasikivu
tofauti na kadem cha steve
kweli uvumilivu ula mbivu
oyah
kweli mbivu zinaliwa
kasula kabarikiwa
na kupata majaliwa oooh
kanyonge kama kamesingiziwa
kama kameonewa
kama chupa wine miguu
sio kama pingili za miwa

#verse
unajuwa sipendi kujifanya najua
sababu bado sijajua
nataka kujua kipi ambocho bado
kinacho kusumbua
kama jipu ntalitumbua
kama zipu nitaifungua
unataka kujua kipi kitamu
kata ya asali na muwa
kama mbichi ntaikamua
inauzwa nisha inunua
kilicho baki nakuchenjia
utoe chenji ma ndo nasubiria watoto
watoto watoto watoto
watoto watoto w~ngu mama watoto
#outro
naitwa twende nao mtu kwao
au umekasirika


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...