
lirik lagu sele minamba - nataka nitoke na wewe
magic sound
na mtu kwao akikwambia pale ndo kule
ebu kwanza subiri ngoja twende nao
naitwa selemani mino
sargent melody
tupo na producer
munno
munno the k!ller
sa mboona una chelewa sio muelewa
au kukupenda unaona ngekewa
sa mboona una chelewa sio muelewa
au kukupenda unaona ngekewa
mwenzako nakupenda ukinitenda
utabomoa tuliyo jenga
mwenzako nakupenda wewe ukinitenda
mimi utabomoa tulio jenga
leo kipenzi minna mikwanja
twende viwanja turuke kwanja
kama masanja lipigwe vanga
kama sindimba we utapenda
w~ngu mchumba
mi nakupenda sito kutenga
tuwe sambamba kama shahada
na dole gumba nitajigamba
unanipenda huto nipinga
mi nakupenda ukinitenda
utabomoa tuliyo jenga
j~po siku zinakwenda
kama mbio za difenda
bado na hesabu calendar
mf~koni sina mikwanja
kidogo nilichopata
namshukuru muumba
kesho ntakununulia
upande wa doti ya kanga
ukizingua unapigwa nao skuvulii mkanda
leo nataka nitoke na wewe
sitaki kwenda mwenyewe
kajiandae baadae nataka niondoke na wewe
leo nataka nitoke na wewe
sitaki kwenda mwenyewe
kajiandae baadae nataka niondoke na wewe
kesho kutwa tutakwenda
kule kwa bibi msanga
ana vikanga vya akiba mke
mwenzie atakutunza
fanya chap tuondoke
mi sitaki unichoreshe
acha mapepe njoo tusepe
beba juice na mkate
tukiwa njiani tuung’ate
fanya uje wasinicheke
nishatupia pamba zote
kazi kwako usinichoreshe
beba na makoti baridi tete
mule kwenye gari tusitetemeke
atuendi utete tunaenda temeke
nimuone mama mkwe
roho yangu irizike mchumba
alafu ndo tukalicheze ilo kwanja
alafu ndo tukalicheze ilo vanga
alafu bibi ndo akupe izo kanga
twende sambamba kama zuchu na simba
refa akipiga kipenga
tunalicheza kandanda
wakidanganya wanakupenda
wambie hii imeenda
story zao za masanja
wasisimulie kwa senga
wambie kazi ya randa
uwa alifanyi grenda
nili kuelekeza utapendeza
naomba nyamaza
nanika kubembeleza
nikizipata nita chafua meeza
leo nataka nitoke na wewe
sitaki kwenda mwenyewe
kajiandae baadae nataka niondoke na wewe
leo nataka nitoke na wewe
sitaki kwenda mwenyewe
kajiandae baadae nataka niondoke na wewe
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu gold city - get up, get ready
- lirik lagu michael wendler - wie hoch der preis auch ist
- lirik lagu maliikai - serotonin
- lirik lagu fulton lee - score
- lirik lagu ddg - new to me
- lirik lagu coldzy - giã tật
- lirik lagu hojas por el barrio - vas a ver
- lirik lagu hbiba - something here
- lirik lagu no.way (artist/beat) - angel on
- lirik lagu alex aiono - saving