
lirik lagu sele minamba - mtu kwao
#intro
meddy huncho subiri ngoja twende nao
naitwa selemani minoo
munno the k!ller
#verse
mtu kwao akikwambia pale ndo kule
sie kwetu yahaya akisema karibu ndo tule
na kwetu mtu akikutolea ndula sio bure
na ukilegeza wanachoma ndula uzile
vipi kwenu
si kwetu sio baridaaa
oyaah mambo vipi kwenu
kwetu jirani akikuomba chumvi
ujue kesho msiba
kwetu jau akilia nyau vibration ukutani
kawaida kidemu mapepe kupandisha
mashetani
nyumba ya pili shekhar na mganga awasalimiani
mimi nimenisurika nili okota kiatu cha baniani
kweli baniani mbaya
ila kiatu chake dawa
kwetu ukijifanya umedata wanakudatisha
ukijifanya umepinda ndo kabisa
wanakupindisha
kwetu wezi kuiba simu awakabi
wanakata madirisha
si kwetu sio baridaaa
nyumbani kwetu kunaitwa
atushibagi tukale wapi
kwеtu mtu akikupa jero
anaona kama kakupa laki
kwetu sambusa kama kalimati
tunamwamini
kwetu uruhusiwi kuchagua jеmbe
ina maana sio mkulima
sio matonge tu ukalime
usije uka mpimia mtoto mtaani kwetu sisi
kuna kitu kinauzwa elfu mbili kinautwa okapi
usije ukaongelea kwetu kuhusu mziki
kuna watu wana copy beat voice mpaka
vipi kwenu si kwetu sio baridaaa
ka copy kapanda mashetani
kama jack chan comedian
uwa napata hasira nibadili floow
nije na floow gani nabadili
slogan
ka copy we shoga nini
aujaacha pigo zako za ku go na return
mtu kwao akikwambia pale ndo kule
sie kwetu yahaya akisema karibu ndo tule
na kwetu mtu akikutolea ndula sio bule
na ukiregeza wanachoma ndula uzile
vipi kwenu
si kwetu sio baridaaa
oyaah mambo vipi kwenu
kwetu jirani akikuomba chumvi
ujue kesho msiba
na mtu kwao akikwambia pale ndo wapi vile kuleee
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu ian munsick - god bless the west
- lirik lagu lampex drill - follow
- lirik lagu miki jevremović - tvoja suza
- lirik lagu eminem - i'm beginning da feel like a rap god, r-rap god (
- lirik lagu edyyardomusic, team clipchamp & 4ndante - mi vida mi cielo (mvmc)
- lirik lagu metallica - ride the lightning (studio demo)
- lirik lagu various artists - дороги (roads)
- lirik lagu fight montage - ode to nobody at all
- lirik lagu arek kłusowski - miłość w planie b
- lirik lagu lyht skin native - ptsd