lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu sda songs - mwamba wenye imara

Loading...

tabibu mkuuu huyu yesu mwenye huruma
atuletaye faraja yesu mwojozi wetu
imbeni malaika sifa za bwana wetu
jina la pekee kwetu ni la yesu bwana

mwana kondoo msifunii msifuni mwkozi
hatiya zote na dhambi huziondoa yesu
imbeni malaika sifa za bwana wetu
jina la pekee kwetu ni la yesu bwana

hakuna jina jingine linalo faa sifaa
au kutufurahisha isipokuwa lake
imbeni malaika sifa za bwana wetu
jina la pekee kwetu ni la yesu bwana

naye atakapokuja na utakufu wake
tuafurahi milele kukaa kwake bwana
imbeni malaika sifa za bwana wetu
jina la pekee kwetu ni la yesu bwana

tabibu mkuuu huyu yesu mwenye huruma
atu letaye faraja yesu mwojozi wetu
imbeni malaika sifa za bwana wetu
jina la pekee kwetu ni la yesu bwana
imbeni malaika sifa za bwana wetu
jina la pekee kwetu ni la yesu bwana

imbeni malaika sifa za bwana wetu
jina la pekee kwetu ni la yesu bwana


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...