lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu scott montana - sitaki

Loading...

sitaki lyrics scott montana

verse 1
nimepitia chati zako
zimefika messages za kwako
n~z~soma nikishangaa
maana hazinipi raha

kila siku sababu sababu utanitoa roho
haina haja tubadilishane majengo kwako
kila uchao mataabu mataabu yananichoma moyo
haina haja tubadilishane majengo kwako

kila nikiamka machoni sikuoni
nikikutafuta kwa simu eti uko sokoni
na mchana kutwa unashinda huko
wala hauko sokoni ama uko mafichoni

utadhani unacheza uno
mchezo wa paka na panya
nikikuona sokoni na mwanaume
unayo singizia ni kaka
(ohh uuhh)

bridge
asante asante asante
nimejifunza mapenzi usipakatee pakate
asante asante asante
nimejifunza mapenzi usipakatee pakate
chorus
sitaki kupenda
sitaki kupeenda
sitaki kupenda
kupenda kupenda

sitaki kupenda
sitaki kupeenda
sitaki kupenda
kupenda kupenda

verse 2
mhh unaforce kupenda
upendo unachezeka
unamwaga visenti
kidogo anapanda cheti

unashinda kushika tamaa
bora nimpende mamaa
haya mapenzi ya ujana
nikucheza mara chezwa

mhh ah sithamini mtu
yeyote sitaki anipige kibuu
nizame mapenzi yaniumize huku
nikose hela niwe teja
(ohh uuhh)
bridge
asante asante asante
nimejifunza mapenzi usipakatee pakate
asante asante asante
nimejifunza mapenzi usipakatee pakate

chorus
sitaki kupenda
sitaki kupeenda
sitaki kupenda
kupenda kupenda

sitaki kupenda
sitaki kupeenda
sitaki kupenda
kupenda kupenda


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...