lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu scott montana - my baby

Loading...

intro

yeye!
dart
dart studio
msanzu
yeah

verse 1
nimepagawa ahh
mwenzenu nimependa kajini
hapa kwa hapa ahh
yani hata siamini

katoto sura na shape ya size 8
kana ni wine wine na deady
mtoto mzuri kushinda sanaipe
nkikaona na salivate

bridge
ah ananisumbua akili
nimechizi kwake sina jinsi
ananituliza mwili
yani mimi kwake nishabahili

ah ananisumbua akili
nimechizi kwake sina jinsi
ananituliza mwili
yani mimi kwake nishabahili
chorus
be my baby bey!
bebebebe be my baby baby bey!
be my baby bey!
bebebebe be my baby baby bey!

be my baby bey!
bebebebe be my baby baby bey!
be my baby bey!
bebebebe be my baby baby bey!

verse 2
ananijua amanimtaje?
kama maua nitamwachaje?
ananijua amanimtaje?
kama maua nitamwachaje?

moyo umependa mmoja
ukiutua kwako sitapona
moyo wako usijegoma
ukanichoma me nitaungua

moyo umependa mmoja
ukiutua kwako sitapona aaah
moyo wako usijegoma
ukanichoma me nitaungua
katoto sura na shape ya size 8
kana ni wine wine na deady
mtoto mzuri kushinda sanaipe
nkikaona na salivate

bridge
ah ananisumbua akili
nimechizi kwake sina jinsi
ananituliza mwili
yani mimi kwake nishabahili

ah ananisumbua akili
nimechizi kwake sina jinsi
ananituliza mwili
yani mimi kwake nishabahili

chorus
be my baby bey!
bebebebe be my baby baby bey!
be my baby bey!
bebebebe be my baby baby bey!

be my baby bey!
bebebebe be my baby baby bey!
be my baby bey!
bebebebe be my baby baby bey!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...