
lirik lagu scar mkadinali - supu ya pweza
yoh for real, you already know men
you already know
rong rende, you know that men
hahaha, for real
[hook]
naeza kupiga mabare
ju we ni puny unijibu na madiss
ni ngumu mimi na wewe tufanane
zako mutumba buda, zangu nili~ship
wasupa w~ngu wote ni mayungin’
kutoka 19, mwisho 23
kutoka hapo huyo anaitwa munyanye
wajaka husemaga ‘mano oseti’
utangoja, ungoje ungonjeke
ndio mi niishe utakuwa mortuary
benz manual ndio niwaonyeshe
gang gang, ndo huwa automatic
ushaipanda ndege na mandege
ushaifanyaga mubaibe awabebe
we ni mtoto mdogo na umejaza nyege
kwanza ebu jipanguze makamasi!
haha, skiza, hakuna favours
kama ni yangu na umekula tema
huko mtwapa, wasupa mateja
aisha alijuta kunipa supu ya pweza
[verse]
mtagharamia
saa inginе nasahau wakidi wanatuangalia
ni msoft ndani hard nje ka macadamia
broda here akichеka anakaa ~n~lia
ama ni izi madree
zile zimejaza baze
mambang’a walikuwa wananichase
kunibamba nikasema nilidhani tuna~race
look, real n~ggas got foresight
gang n~ggas got no profiles
if you know me, you know you don’t cross i
you know what they say, rich n~ggas don’t start fight
and we give it to the most high
just bought a land, and it’s costs like
i don’t wanna say it mtasema ninachocha
like how the f~ck did he make it in a short time
mmmh, cash, how i paid it
if you see it on my neck, that’s half a kg
skiza, si huifanya daily
if you see him on my side, that n~gga crazy
commercial mi sifiki mi ni lazy
still underground, down here they call me hades
nikiuza mtanunua, smooth criminal nakuchai nikimoon walk
na madelays hanaku, a few blows
na uteme tumbaku
na usikunywe pombe mingi upumbafu
na unajua vizuri uko na siri za watu
uh, are you with me decide bro
if you are ready, we make history tonight bro
the white lady almost k!lled me and symo
hata ufanye nini hatukai broke
make money off weed, greed and shylock
alitry kucheza na munyu akacheza na chai moto
hii maandamano si mangw~ngi wamepona
hii inamark enzi ya shakahorror
huh, ni funny i feel nothing
hii usanii imefanya i feel nothing
na carrie wahu ameshinda aje
mwambie scarde anauliza ni shiingapi
huh, ni funny i feel nothing
hii usanii imefanya i feel nothing
na carrie wahu ameshinda aje
mwambie scarde anauliza ni shiingapi
[hook]
naeza kupiga mabare
ju we ni puny unijibu na madiss
ni ngumu mimi na wewe tufanane
zako mutumba buda, zangu nili~ship
wasupa w~ngu wote ni mayungin’
kutoka 19, mwisho 23
kutoka hapo huyo anaitwa munyanye
wajaka husemaga ‘mano oseti’
utangoja, ungoje ungonjeke
juu mi niishe utakuwa mortuary
benz manual ndo niwaonyeshe
gang gang, ndo huwa automatic
huh, skiza, hakuna favours
kama ni yangu na umekula tema
huko mtwapa, wasupa mateja
aisha alijuta kunipa supu ya pweza..
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu renao - visa
- lirik lagu rhyder - thói hư
- lirik lagu aystar - trendsetter 2
- lirik lagu acid souljah - eric cartman chain
- lirik lagu elias rønnenfelt - hollow noon
- lirik lagu jack mcintosh - goodbye
- lirik lagu muscular christians - 15 out of 50
- lirik lagu kim trinidad - stay with me tonight
- lirik lagu carl belew - i'm gonna stay awake tonight
- lirik lagu ali wadood, ali gillani & jordan - beauty queen